Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

Ndio mimi charminglady...bofya hapo chini uone jina hili lilitungwa vipi...pia si vibaya ukaandika machache kuhusiana na hilo jina lako. Mie kuna majina mengi hapa nayahusudu sana ila hivi karibuni hili la BADILI TABIA nimekuwa nikijiuliza kwamba je kuna mtu anaambiwa abadili tabia, au badili tabia ameamua kubadili tabia hivyo kwa kutumia jina hili atakuwa anajikumbusha kuhusu maamuzi yake ya kubadili tabia.

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/40266-je-jina-lako-unalotumia-jf-lina-maana-yoyote-22.html


hahaha et ukwelikitugani, hee umemsahau BAK cjui ndo mwenye ile id ya BUBUatakakusema?
 
Last edited by a moderator:
asante baki nimesoma maana ya jina lako, la kwangu mie. linajieleza km lilivyo "am always charming" dats all. . .
 
aaahaa ngoja na mie nilianzishe nipate japo moja
hivi f foxy alipata life ban au mbona simuoni jamanii

Hata mie nahs hvo atakuwa amelambwa la Maisha.
Ila lazima aje na ID ingine,
c unajua tena?
We lianzishe bhana, c unajua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…