Ni maduka gani wanauza unga wa ruzuku ya serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni maduka gani wanauza unga wa ruzuku ya serikali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jitihada, May 20, 2011.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima zenu wana jf! Hali ya maisha imekuwa ngumu kila uchwao, nna mke pa1 na watoto wawili, ila kipato changu hakiendani kabisa na ukubwa wa familia yangu. Sasa nimeonelea nianze kuchukua hatua za kubana matumizi ili niweze kuyamudu majukumu. Naombeni mnijuze wanapouza unga wa ruzuku ya serikali ili nkanunue maana bei ya huku kwe2 imenishinda sitaweza kuimudu.
   
 2. b

  binti ashura Senior Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tueleze upo wapi ili tukujibu tunaweza kukutajia maduka ya ngala kumbe wewe uponachingwea na mwishowake yasikusaidie kitu. tafadhali tujurishe unapoishi ili tuone namna ya kukusaidia!
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Maduka ya kaya yalikufa siku nyingi mkuu
   
 4. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Mkuu hiki kibwagizo kimeniacha hoi! You have made my day "He who knows, and knows that he knows, is a wise man, emulate him.
  He who knows not, and knows not that he knows not, is a fo:hail:eek:l, shun him." Thank you!
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Wewe unasikiliza porojo za Maghembe,ndugu unga wa sh 600 sahau mpaka mwezi july august kwa sasa sh 800 mwendo mdundo,mwaka ujao itakua sh 1200 per kg
   
 6. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bint ashura me nipo hapa ubungo riverside ya huku kwa mzee wa upako, kilo ya unga tunauziwa sh.850. Unga wa ruzuku nimeambiwa unauzwa sh.500.
   
 7. b

  binti ashura Senior Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwa huko sina majibu ya mala moja nimesoma michango ya wenzetu wanasema unga wa ruzuku ni polojo tu hakuna!.
   
Loading...