Ni madhara yapi unayoweza kuyapata ukimrudia msichana uliyeachana naye?

Alimaanisha Kuna mimba yan naweza kujikuta nimempa mimba hali yakua sina malengo nae nafkiri alimaanisha hivyo

GunFire
Kama huna malengo nae hauna haja yakupasha kiporo achana nae ndo maana pale juu nilikwambia una mengi yakuangalia as in bado unampenda, unamalengo nae gani
 
Yaani umeshamwambia huna malengo naye hiyo imekula kwako, chakwanza mimba lazima
abebe na akinasa tu ni kupe tayari labda kama unayo josho, na atakuwa kajiandaa liwalo na liwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mdau anauliza eti mimba wanapewaje kama vile yeye hajui matokeo ya kugegeda bila mipira ni mimba na magonjwa.
 
Ushauri mzuri mkuu ila sijion kama ninamapenzi nae baada ya kuvigundua vikwazo vyakua na malengo nae ni vingi, licha yakua analazmisha niwe nae hivyo hivyo.
Ahsante kwa ushauri mkuu.

GunFire
Sasa kama hauna mapenzi nae si umuache tu aende
 
Back
Top Bottom