hahahaaa hulali wewe kigoli? oh sorry masai dada? ule mpambano kule uliishaje?
hahahaahahh mtanange uliendelea tumembana yule duu kakataa kutoa namba alikua anatafuta umaarufu tu kwa evelyn salt alafu kisa kumbe eve alisanuka kwamba yule duu ana ID nyingi kitu ambacho kikapelekewa akawa na bifu basi watu waliibuka kila mtu anataka kuchangia rambirambi,wee nani kakwambia mods wana wikiend walishaifunga ile sired kitambooo,