masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,570
- 20,145
hebu tenganisha hilo neno la mwisho uone! yani KITA,MBOOO ulimaanisha hili?
hhaahaaajaj mshana jr usiku mkali huu acha hizo
hebu tenganisha hilo neno la mwisho uone! yani KITA,MBOOO ulimaanisha hili?
Hahahahahhah! Ulitaka uanze mapema kukusanya virago ukajua wameshaanza
Mi mbona niko manzese naelekea ubungo na kuko shwali tu? Itakua ni masikio yako tu!
Ni fataki maeneo ya mnazi mmoja,kuna sherehe za kukaribisha miaka 50 ya Muungano.
pande za mjini kuna sauti kama ya vitu vinalipuka mfululizo na nasikia honi nyingi za magari ninini hicho? nk ubungo
hahahahaaa ilikwisha salama kaka na wakaomba radhi kwa usumbufu wote, binti hakuwa kigoli kama babaake alivyokuwa anafikiri docta aliweka wazi kila kitu
Halafu mnasema bora tupigane.teh teh teh je usiku kama huu tungekimbilia wapi?