Mmmetangazia dunia ni mapinduzi mnajiandaa nayo, silaha nzito nziito zinawahusu ili kuzima mapinduzi haramu.Hii biashara ya kutisha watu au kuogopesha watu ni ya kizamani..ingekua busara mumshauri anaesababisha hii hali.. lkn pili raia wakiandama kwa amani ata hao jwtz hawana cha kufanya zaidi ya kuwalinda na kusikiliza wanchotaka..tumeyaona kila mahali...na wakithubutu risasi the hegue inawasubiri na dunia inaona mkae mkijua hilo, so msipuuze kajipangeni kujibu kero za watu.
Nasikia vikosi vyote nchini wameshanza kutest mitambo. Target ya kwanza ni Mbowe, Zitto na genge lao. Lazima wajue kuna vyombo vya dolaachana naye huyó hao dawa ni kunyooshewa za moto tu si wametangaza mapinduzi inaeleweka maana yake nn mapinduzi wanajitekenya hao
Hahahahahaaaaaaaaa. Wanaoandamana kwa lengo la kupindua siku zote si Raia. Utaona siku hiyoYani kuna nchi huko zinasubiri tu kinuke uone watavyokuja kujifanya wanasaidia wananchi nadhani mikwara yote itaisha, waombee tu maandamano yasitokee maana yakitokea na wakianza kuua raia ndo utakuwa mwisho wa kijani pale magogoni
Vp bado unaishi na jamaa au ndio kakupiga kibuti?,umeamua kurudi kijiweni hapo lumumba kun'gaa sharubuu...Pole sana. Msiyempenda kaja. Ngoja niwajambishe kwanza
Kwani wewe kwa akili yako unafikiri Misri, Libya, Romania, Ethiopia, Zimbabwe, nk nk hawakuwa na vifaru? Unaongea kama vile hata kusikiliza redio haujawahi!Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
hawa ni watoto mkuu, wanataka kumbip kamanda Sirro.....atawapigia we waache tuWadau, amani iwe kwenu.

Wanachekesha hasa....wacha waendelee kujifariji siku zisonge kwa sababu they are sad people wanaishi kwa matamanio na ndio mana kutwa kucha kujifananisha na nchi za wenzao.Wanachoshindwa kufahamu ni kwamba Rais Magufuli tumemchagua kwa njia ya kidemokrasia na ana muda mfupi madarakani.
Hahahaha raia huomba kibali cha maandamano.Hawa wametangaza mapinduzi tena wanatolea mifano yatakuwa kama ya Misri, Tunisia na Libya.hahaha halafu eti waachwe nyooooooooHahahahahaaaaaaaaa. Wanaoandamana kwa lengo la kupindua siku zote si Raia. Utaona siku hiyo
Hawajui hata wanachokitaka......hahahhahhahhahhhhhNa Mapinduzi siku zote hayana siasa. Hushughulikiwa kijeshi
Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Labda kama watakuwa wanatania, ila endapo watu watakuwa wamedhamilia kweli, ndugu hakuna risasi au jeshi linaloweza kuzuia nguvu ya umma!
By the way mbona Lumumba mmebaha Sana na wakati Magufuli ni rais kipenzi cha watu?
ndoto...tukutane hapa baada ya maandamano sijui mapinduzi yenu FEKI.acha upuuzi ww gamba kipi hujaelewa kuhusu maandamano hayo? lengo ni kumtoa dikteta uchwara na NEC yake, nchi itaongozwa kwa muda na Makamu wa raisi mama samia