Hahahahahahahaaaaaa. Hao International Community mbona hawachukui hatua huko Syria?On that date, under police brutality, large masses of people will be killed and consequently this will invite International condemnation which will lead international law to take its course. Charges of CRIME AGAINST HUMANITY/GENOCIDE depending on the nature of demonstration and the number killed, will be instituted against government official at the ICC by Bensouda
Hahahahahahaaaaa. Juzi tu kiliponuka Mbowe alienda kujificha kwenye ofisi ya CCM Kinondoni MkwajuniNatumaini kiwaona makamanda.
Kamanda Mbowe, Kamanda Mnyika, Kamanda Lowasa, Kamanda Sumaye, Kamanda Mdee, Kamanda Msigwa, Kamanda Lema and the rest of their fellow COWARDS on the front line.
Mtajitahidi kubadili chupa mpya lakini mvinyo yenu imesikika harufu yake na hainyweki kwa watanzania
Labda mfanye kubadili siku, lakini tarehe mliyoitaja is already mapped as catastrophyWaandamanaji watakuwa wamebeba Biblia na Koran mkononi. Je utawafumua vichwa watu waliobeba vitabu vya Dini kuashiria amani? Basi vichwa vitafumuliwa vingi siku hiyo kwa kuwa Vitabu hivi havina uwezo wa kukabiliana na Majeshi unayosema.
Waache waje baba...wala usiwastueHakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Mkuu sio mapinduzi isipokuwa watanzania wanataka watewaliwe vile wanavyotaka sio kupelekeshwa kama mapimbi,katiba haifuatwi,maiti zinaokotwa kila siku,polisi wanafanya mambo bila kufuata sheria,kwakweli tunaishi kama wanyama,"law of jungle" mwenye nguvu mpishe...Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Acha udhalilishaji mamako pia alinyonya koni ndio mana uko hapoHakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Haya sio maandamano ya chama fulani,ni maanadamano yaliyoandaliwa na watanzania kutoka vyama tafauti vya siasa na visivyo vya siasa,sasa hao uliowataja ni akina nani??!Natumaini kuwaona makamanda.
Kamanda Mbowe, Kamanda Mnyika, Kamanda Lowasa, Kamanda Sumaye, Kamanda Mdee, Kamanda Msigwa, Kamanda Lema and the rest of their fellow COWARDS on the front line.
Hao ndio wale WATANZANiA wenye viherehere kama vibinti vya shule mpaka vinapewa mimba.Haya sio maandamano ya chama fulani,ni maanadamano yaliyoandaliwa na watanzania kutoka vyama tafauti vya siasa na visivyo vya siasa,sasa hao uliowataja ni qkina nani??!
Viherehere kivipi Mkuu,fafanua..hao uliowataja sio wao wenye mpango wa kuanzisha haya maandamano wakija au wasije kwenye maandamano haisadii chochoteHao ndio wale WATANZANiA wenye viherehere kama vibinti vya shule mpaka vinapewa mimba.