Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana Nakumbuka nishawahi panga na demu kwamba mm naacha chuo ww endelea kusoma ukimaliza ntakuachia michongo nayo fanya na mm nije nimalize ...Aisee unazani ata semister iliisha wiki moja sipo chuo demu kapata bwana mpya wala Hani hitaji tena na shule nishaacha
 
Huwa napataga ukakasi sana kuandika about my love life. Na hii inatokana na ukweli kwamba, kwenye mahusiano furaha uwaga tunaiforce sana, nguvu inayotumika ni kubwa ili kuhakikisha tunamaintain furaha, Ila katika uhalisia disappointment ni nyingi Sana.

Any way, tuachane na ilo, turudi kwenye mada. Kati ya vitu ambavyo vinaongoza kwa kuzika ndoto za watu wengi Sana basi ni mapenzi. Linapokuja swala la mapenzi, tunakuwaga na ujasiri na uthubutu wa hali ya juu Sana tofauti na kwenye mambo mengine ya kimaendeleo. Binafsi kama isingekuwa mapenzi ningekua mbali sana kiuchumi tofauti na nilivyo sasa. Kwa nyakati tofauti mapenzi yamekua yakinifanya niwe na maamuzi ya kijinga Sana ambayo yamenigharimu muda, nguvu, na hela, huku yakiniachia majuto ya muda mrefu baadae.

1. Na life langu la kuunga unga ili ili, nilibahatika kuunganishwa sehemu nikapige kazi. Ile sehemu kama ningeenda, ingekuwa chanzo kikubwa sana cha kunipatia connection na kipato ambacho kingenifungulia mambo mengi. Hiyo sehemu niliyotakiwa kwenda ilikuwa ni mkoa wa mbali kabisa na nilipokuwa kwa kipindi hicho. Wakati naweka mambo yangu sawa ili niende, demu niliyekuwa nae akaanza kulia akisema nikiondoka sitomkumbuka, maana kule ni mbali, pia plans zetu zitakufa nk.

Akasema kama vipi nitafute michongo ya mle mle mkoani. Nikapiga hesabu, nikaona sio kesi, nimesurvive Sana, nitasurvive tena. Nikapiga chini ule mchongo nikabaki kuendelea harakati za kuunga unga na kufukizia michongo ya pale pale. Miezi 6 baadae, demu akarudi kwa bwana wake wazamani, tena kwa kebehi na jeuri.

Mwezi uliopita namba ngeni ikanitafuta, katika kuchat ndo najua ni yeye, anasema ananipa Hi tu. Ukweli ni kwamba bwana ake ametia mimba na kuchumbia sehemu, so yeye kapigwa chini.


2. Nina best yangu mmoja wa kike, aliambiwa na mume wake aache kazi then atafunguliwa biashara asimamie. Mwezi mmoja baada ya kuacha kazi, kulitokea migogoro kwenye ndoa yao, wakaacha na mumewe, biashara zote akaporwa. Now ndo anaanza upya kujikongoja. Anajilaumu Sana kuacha ile kazi aliyokuwa anafanya.

3. Nina mshikaji alijenga kwenye kiwanja cha mkewe huko mkoani. Nyumba waliyojenga ni ya maana. Makubaliano ni kwamba kwenye hati yawekwe majina ya watoto wao. Mke akawa anafatilia mchakato wote mpaka mwisho. Jamaa kuna siku anapekua pekua ndani,anakuta kopi ya hati Ina majina ya mkewe. Kuuliza,ikawa ugomvi. At the end waliachana, maana walikuwa na migogoro mingine pia. Sasa hivi jamaa kapanga, mke anaishi kwenye nyumba.

At the moment of love, Kuna maamuzi yanafanywa kirahisi Ila yanaimpact kubwa sana huko mbeleni. Japo wanasema "What goes around, becomes around" Ila mpaka Karma ifanye yake, wewe huku unakuwa unapitia majuto makubwa Sana,mengine hayasahauliki kabisa. Kwa upande wa watu wangu wa karibu, mifano ni mingi Sana.

Kwa upande wenu, mapenzi kama mapenzi,ni hasara gani yamewapa? Ni uhamuzi gani uliufanya ukiwa penzini na unaujutia mpaka Leo?

View attachment 2203694
Siku niliyomtumia nauli mwanamke aje mkoa niliopo akitokea mkoa mwingine afu hakuja na muamala akautoa haraka. Na kunijibu ahsante nimepata hela ya kusuka na mahitaji mengine. Ndio siku nisema simtumii mwanamke pesa aje na nauli yake ya kurudi nampa.
 
Sijui wajuba mnakwama wapi!?,mimi ikitokea fursa huwa sijali kama nimedate na demu muda gani ama nampenda kiasi gani mimi huwa nasonga tu mbele najua nitakutana tu na papuchi za kula na kusaza,nikikaa mbali kwenye mahusiano yeyote zaidi ya miezi 4 ndio imetoka hiyo
 
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana Nakumbuka nishawahi panga na demu kwamba mm naacha chuo ww endelea kusoma ukimaliza ntakuachia michongo nayo fanya na mm nije nimalize ...Aisee unazani ata semister iliisha wiki moja sipo chuo demu kapata bwana mpya wala Hani hitaji tena na shule nishaacha
Daah ulitisha mzee baba, inaonesha ulikuwa bado mdogo na hukuwafahamu vizuri hawa viumbe
 
Kumbe alikua tayari keshambebesha mdada wa watu mimba na kumuahidi kuwa atamuoa.kwangu alikua analipiza kisasi koz nilimkataaga hapo awali

Kosa langu n kumuamini coz alikua mpole, mpenda church fellowship za kanisani hakosi alafu alikua na sura personal hata kuvaa hajui ko nkamchukulia pow ckuhsi kama anaweza kuwa katili vile shetani na nusu
Ulimkataa awali, nini kilikufanya ukubali kuwa nae hapo baadae?
 
Yale yale ya Elimu haina mwisho nikatoa hela ya Ada kumnunulia demu simu nikijua nitairudisha !! Nikazuiliwa kufanya mtihani Mambo yalienda kombo mpaka nikapiga chini shule !!
Demu nae alikuja kuniacha vibaya sana !!

Ila Yolanda ulipo hadi leo nakuchukia !!! Nakuombea Utasa kmmk !!
 
Aise sitasahau siku namgegeda mrembo mmoja basi ile karibia nashusha wadhungu sii akaniambia cum in my mouth...mie huyo nikashusha mzigo wote mrembo akapokea...eeh cha ajabu katika ile furaha sii ninakpiga demu denda akiwa na wadhungu mdomoni....kiufipi nikwamba nilimeza wadhungu wangu mwenyewe

nimecheka kwa nguvu mpaka najishangaa
Anyway pole sana mkuu..
 
Back
Top Bottom