Elections 2010 Ni Maalim Seif na Seif Idd

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,161
Dr Shein amemteua maalim Seif kuwa makamu wa kwanza wa rais na balozi Seif Idd kuwa makamu wa pili wa rais... government of national unity in the making
 
Inatia moyo kwamba Seif wawili watakuwa kwenye nafasi moja ya umakamo wa raisi.
Huyu Seif Iddi ni nani?.
 
Inatia moyo kwamba Seif wawili watakuwa kwenye nafasi moja ya umakamo wa raisi.
Huyu Seif Iddi ni nani?.
Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya JK iliyopita. jana Shein kamteua kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi
 
Na yule mgombea mwenza wa Lipumba kaula uwakilishi, sasa sijui na JK atamuona Profesa wetu Lipumba kwenye list yake wa wabunge 10? vinginevyo Lipumba itabidi urudi CHUO ukawape watu darasa tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom