Ni lini tutafika?

Ni lini tutafika?

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
24
....chakula chetu cha asili, swali linabaki, Ni lini tutafika kwa hali hii?

Ugaki.JPG
 
Tutafika tukiwa tumechoka sana......... Inawezekana hawajui EPA, Richmond/Dowans, Merereta etc yet, they are directly affected by those scandalous sleaze. Tutafika Tanzanite imeisha, Kiwira imeisha, Bulyanhulu kwishney etc, tukiwa tumebaki na mashimo........ Hv riding from Dar to Dodoma.... from 2000's what has changed? Muulize JK au mbunge/waziri yeyote... si ndo njia wanayopita wakielekea mjengoni? Nothing has changed than more desertification, etc.....
 
Watanzania 2kiamua 2tafika kwa kutokuchagua tena mkwere na yule mla panya maana ndo wana22mbukiza shimoni 2kifanya kama misri 2tafika
 
Tutafika tukiwa tumechoka sana......... Inawezekana hawajui EPA, Richmond/Dowans, Merereta etc yet, they are directly affected by those scandalous sleaze. Tutafika Tanzanite imeisha, Kiwira imeisha, Bulyanhulu kwishney etc, tukiwa tumebaki na mashimo........ Hv riding from Dar to Dodoma.... from 2000's what has changed? Muulize JK au mbunge/waziri yeyote... si ndo njia wanayopita wakielekea mjengoni? Nothing has changed than more desertification, etc.....

Hao wanaosonga ugali na yeboyebo mguuni ndiyo siku ya uchaguzi wanakwambia hawaaamini kama kiongozi wa kuendesha nchi anaweza kutoka chama kingine kama sio CCM... Kwa hiyo siku wakiishaelewa kuwa tunahitaji kiongozi na si chama ndo safari itakuwa bora kwa kiasi fulani.
 
I think it's better not to ask 'Ni lini tutafika?' while we are heading no where! Hatuna mwelekeo ndugu yangu. Ndiyo maana kila siku tuko palepale!!!
 
Kweli inasikitisha sana dunia ya leo bado tunaishi katika umasikini mkubwa kiasi hichi...!
 
Back
Top Bottom