Kuna watu wataanza kuusoma huu Uzi kwa mihemko lakini, naomba meza mate alafu twende sambamba.
Mi naogopa sana kuishi kwenye nchi ambayo kumbe bado haijapa uhuru japo watu wake wameaminishwa kuwa ni nchi huru.
Hebu tuangalie kwa kifupi sana tafasiri ya neno uhuru (freedom) alafu uniambie je hii nchi ni nchi huru?
Freedom~means the state of being free; The power to act or speak or think without externally imposed strain.
Zipo definitions nyingi sana lakini hii ina maneno mepesi sana yanayoeleweka. Sasa nauliwauliza tena wasomi na wanazuoni je! Tanzania ni nchi huru?