Ni lini Tanzania itapata uhuru wake?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Kuna watu wataanza kuusoma huu Uzi kwa mihemko lakini, naomba meza mate alafu twende sambamba.

Mi naogopa sana kuishi kwenye nchi ambayo kumbe bado haijapa uhuru japo watu wake wameaminishwa kuwa ni nchi huru.

Hebu tuangalie kwa kifupi sana tafasiri ya neno uhuru (freedom) alafu uniambie je hii nchi ni nchi huru?

Freedom~means the state of being free; The power to act or speak or think without externally imposed strain.

Zipo definitions nyingi sana lakini hii ina maneno mepesi sana yanayoeleweka. Sasa nauliwauliza tena wasomi na wanazuoni je! Tanzania ni nchi huru?
 
Anko Ben njoo huku umsikie huyuuuu. Anasema hatuko huruuuu.
Njoo harakaaaa.....Unasemajeeee, yeye ni naniiiii??? Aaaaaah njoo umwambie mwenyewe!!!
 
Kuna watu wataanza kuusoma huu Uzi kwa mihemko lakini, naomba meza mate alafu twende sambamba.

Mi naogopa sana kuishi kwenye nchi ambayo kumbe bado haijapa uhuru japo watu wake wameaminishwa kuwa ni nchi huru.

Hebu tuangalie kwa kifupi sana tafasiri ya neno uhuru (freedom) alafu uniambie je hii nchi ni nchi huru?

Freedom~means the state of being free; The power to act or speak or think without externally imposed strain.

Zipo definitions nyingi sana lakini hii ina maneno mepesi sana yanayoeleweka. Sasa nauliwauliza tena wasomi na wanazuoni je! Tanzania ni nchi huru?
Tanzania haikuwahi kutawaliwa
 
a070577b9140fae753a5b0f6634f3754.jpg
 
Kuna watu wataanza kuusoma huu Uzi kwa mihemko lakini, naomba meza mate alafu twende sambamba.

Mi naogopa sana kuishi kwenye nchi ambayo kumbe bado haijapa uhuru japo watu wake wameaminishwa kuwa ni nchi huru.

Hebu tuangalie kwa kifupi sana tafasiri ya neno uhuru (freedom) alafu uniambie je hii nchi ni nchi huru?

Freedom~means the state of being free; The power to act or speak or think without externally imposed strain.

Zipo definitions nyingi sana lakini hii ina maneno mepesi sana yanayoeleweka. Sasa nauliwauliza tena wasomi na wanazuoni je! Tanzania ni nchi huru?

Toa mfano au mifano ya vitendo au maneno yanayothibitisha ukosefu wa uhuru.
Hata hivyo, kufanya mzaha kwa mambo yanayohusu utaifa, adhabu yake ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom