Mkuu kwa hali ilivyo nadhani sasa hivi haina budi kwanza serikali iangalie namna ya kupunguza hawa wasomi waliopo mtaani ambao bado hawana ajira. Maana kuzidi kuongeza idadi ya vyuo wakati bado kuna wahitimu wengi wasio na ajira ni kuzidi kuongeza tatizo.Kwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa.
Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho main campus itakuwa Mwanza.
Namuomba Rais Magufulu kabla hajatoka Madarakani aache amejenga au ameanzisha ujenzi wa chuo kikuu mkoa wa Mwanza.
Hii itampa heshima na kumbukumbu nzuri sana kwa wananchi wa Mwanza na kanda yote ya ziwa kwa ujumla ukizingatia watu wa kanda hii wanampenda sana.
Imekula kwenu mlizoea kulia lia kama watotoKwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa.
Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho main campus itakuwa Mwanza.
Namuomba Rais Magufulu kabla hajatoka Madarakani aache amejenga au ameanzisha ujenzi wa chuo kikuu mkoa wa Mwanza.
Hii itampa heshima na kumbukumbu nzuri sana kwa wananchi wa Mwanza na kanda yote ya ziwa kwa ujumla ukizingatia watu wa kanda hii wanampenda sana.
ππKanda ya ziwa serikali iboreshe chuo cha pansiasi kikubwa iongeze kozi mfano Bachelar ya kufuga chatu na fisi ( B A hyena and python keeping),B A in witch craft, au nakosea!??