Hao waokoaji waliopanda juu ya nyumba wanaweza kuvunja paa wakaleta ajali nyingine hapo.Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.
View attachment 2833117
Ulitaka wapige mbizi kwenye tope? 😁😁Duh,hawataki gusa tope
Ova
Ok, kwahiyo waendelee kuokoa kwa macho?Chadomo kama kawa kama dawa,hawana jema, wao ndio wanajiona wanaakili kweli pumbavu zao,
Uokoaji wa tukio la namna hii siyo sawa na tukio la baharini au moto, na waokoaji wakifuata maneno ya papara wanaweza nao kuzama kwenye Tope, majanga yakawa makubwa zaidi. Tathimini ni muhimu sana kwa aina ya tukio.
Kwani walioafariki wako juu ya paa? Au wanasubiri Hadi hiyo miili iharibike kwenye tope?Ulitaka wapige mbizi kwenye tope? 😁😁
Akikujibu unitagOk, kwahiyo waendelee kuokoa kwa macho?
Uzito wa hao jamaa sita haupungui nusu tani. Mimi ningekuwa mwenyenyumba ningedai fidia ya kwa kuharibu paa la hiyo nyumbaMwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.
2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.
2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kwamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.
Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.
Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.
View attachment 2833117
They aren't well trained. Ghost workers.Hao waokoaji waliopanda juu ya nyumba wanaweza kuvunja paa wakaleta ajali nyingine hapo.
Mm ningeipiga nyundo hiyo nyumba ili waporomoke wafe halafu nidai fidia ya nyumba mpyaUzito wa hao jamaa sita haupungui nusu tani. Mimi ningekuwa mwenyenyumba ningedai fidia ya kwa kuharibu paa la hiyo nyumba
Na aliyeilaani kafa hatuwezi kumuomba msamahaHii nchi ili laaniwa
Lete wazo, wameshafariki wako ndani ya Tope, nini kifanyike?, hapo Pana kina cha mita 5 cha Tope, chadomo wanasema helicopter zije, pia baadhi ya nyumbu wanashauri magreda yapekuwa yakiziharibu Maiti itakuwaje, hebu lete wazo chadema wewe labda wazo lako likasaidia maana taasisi za uokozi pia zinasoma hapa! 😁Kwani walioafariki wako juu ya paa? Au wanasubiri Hadi hiyo miili iharibike kwenye tope?
Mwaka 1995 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya ccm.
2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya majini ya nchi zote 2 (Zanzibar na Tanganyika) haikuweza kujua mpk pale Al Jazeera ilipotangaza masaa 11 tangu meli kuzama. Kati ya abiria 610 ni 250 tu ndiyo waliookolewa. Uzembe wa serikali ya ccm.
2022 ndege ya shirika la Precision Air ilipata ajali na kuanguka ziwa Victoria . Waokoaji wwaliopata mafunzo wakawa nchi kavu wanaivuta ndege kwa kamba, wanaogopa kuingia kwenye maji.
Wavuvi akina Majaliwa wakajizolea umaarufu kwa kuvunjq dirisha la ndege na kusababisha maji kuingia na kuua abiria 19. Uzembe wa serikali ya ccm.
Kinachoendelea Hanang ni kupiga selfie wala siyo uokoaji. Ni muendelezo wa uzembe ule ule uliyofanywa kwenye majanga ya nyuma.
View attachment 2833117