ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,707
Kuna kijana aliomba mara ya kwanza kwenda kusomea certificate ya mambo ya afya na yalipotoka majina hakuchaguliwa sasa tukaamua kumuombea tena kwa awamu ya pili lakini safari hii akiwa amechagua certificate ya administration katika chuo cha mipango na wakati huo tunamwombea NACTE , deadline yao iliikuwa 15 Oktoba .
Kwa yeyote anayejua nacte wanaachia lini majina hewani atujuze kwani hivi sasa ukiingia kwenye website ya nacte unakutana tu na ujumbe " now we are proccessing the selection of applicants"
Kwa yeyote anayejua nacte wanaachia lini majina hewani atujuze kwani hivi sasa ukiingia kwenye website ya nacte unakutana tu na ujumbe " now we are proccessing the selection of applicants"