Habari za wakati huu wanajukwaa,
Naomba mnijulishe jambo fulani, kuhusu namna ya kufanya application kwa course ambazo sio za AFYA na education! (hizi hazifanyiki online, according to NACTE)
Nimejaribu kuangalia baadhi ya vyuo ambavyo vina offer course kama business administration, records mgt(ngazi ya astashahada) sijaona utaratibu wowote uliowekwa.
Tafadhali kama kuna MTU anajua namna na ni lini application zitaanza anielekeze
Na pia, Je? Kama MTU anayetaka kusoma certificate ya community health baadae akishamaliza hiyo course ya mwaka mmoja(community health) ataweza kusoma diploma ya course gani??
Natanguliza shukrani, response yenu itanisaidia sana.