Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

3. Ni miaka zaidi ya 8 tangu list of shame ilipotajwa. Hiyo pamoja na tuhuma nyingine zimefanyiwa kazi na pale uthibitisho umekuwepo wahusika wamefikishwa mahakamani na wengine kufungwa jela
Mkuu,
Wewe unaongelea kwa mujibu wa serikali ya CCM, mimi ninaongelea kwa mujibu wa serikali ya Chadema kupitia Ilani yake ya Uchaguzi.

List of shame haikutajwa na serikali ya CCM.

Wenye uwezo wa kuifuta list of shame ni Chadema.
 
Mkuu,
Mimi nimekuwekea sehemu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chadema na kauli za viongozi wakuu wa Chadema.

Siyo mimi niliyechagua mafisadi pekee bali Ilani ya Uchaguzi ya Chadema ndiyo iliyoainisha katika Ibara ya 6.4.1(v) jinsi ya kuwashughuirikia mafisadi.

Lengo la Ilani ya CDM ni kuiondoa CCM Madarakani,Lengo ya kuwakaribisha watuhumiwa wa Ufisadi waliotubu ni kuiondoa CCM Madarakani. Kwa hiyo Mbinu zote Mbili ni sahihi ili kufanikisha Lengo kuu.
 
hawaaminiki hao.
hzo ndo siasa za kibofongo. wanajua w/nchi ni vichwa vya panzi walishasahau/ hawajasoma wala hawajali hyo ilani ya cdm.
Mkuu,
Ninaweza kukubaliana na wewe!

Inawezekana walisahau kwenye Ilani yao ya Uchaguzi waliweka hili kipengele!

Wahenga walisema, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!
 
Tumechoka kunyanyasws na makengeza!! nasema tumechoka!! tumenyang'anya ardhi yetu!! tumefukuzwa kwenye machimbo!! UKAWA sisi tunawasubilia..tunataka tudelete chama hiki kwanza..
Mkuu,
Makengeza ndiye nani?

Sijakuelewa vizuri!
 
Mkuu,
Wewe unaongelea kwa mujibu wa serikali ya CCM, mimi ninaongelea kwa mujibu wa serikali ya Chadema kupitia Ilani yake ya Uchaguzi.

List of shame haikutajwa na serikali ya CCM.

Wenye uwezo wa kuifuta list of shame ni Chadema.

Unajua maana ya whistle blowers?

Hakuna sehemu ilani ya uchaguzi ya CDM inasema watuhumiwa watatendewa sawa na wenye hatia.

Ni kazi ya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahalifu... kama ilivyofanya kwa akina Mramba et al...
 
Hakuna dhambi isiyosameheka.Fisadi akitubu anakubaliwa hasa kipindi ambacho fisadi anasaidia kuuondoa Utawala Dhalimu.

ZZK alipofanya yake mkasema hasameheki ni msaliti mpaka leo mnalazimishwa na mamvi ili arudi kundini ..naomba muwasamehe na Change, Rostam, Tibaijuka, Karamagi n.k ili Tz iwe ya watakatifu
 
Haya mambo ya kusema kwamba yoyote anaweza kuingia CDM ili ccm itoke hili ni janga,ndio mambo yaliyotokea Libya wakati waasi wanapigana na Gadaffi walisema lengo lao ni kumtoa madarakanai Gadaffi lakini leo Libya haikaliki kabisa.kwa sababu walikosa agenda endelevu kwamba wakishamtoa Gadaffi nini kitafuata. mfano mzuri ebu angalia swala la kumpata kiongozi wa UKAWA lilivyokuwa gumu! alafu ndio unasema eti itakuwa rahisi tu ikishatolewa ccm madarakani kupata uongozi.
Mkuu,
Hizo ni kauli za kukata tamaa!

Kuna baadhi ya watu kwa sasa hawana tena njia ya mbadala ya kupambana na CCM kwenye majukwaa ya kisiasa ndani ya taratibu na kanuni zao za vyama. Kwa sasa wanatafuta kitchen sink approach!
 
ZZK alipofanya yake mkasema hasameheki ni msaliti mpaka leo mnalazimishwa na mamvi ili arudi kundini ..naomba muwasamehe na Change, Rostam, Tibaijuka, Karamagi n.k ili Tz iwe ya watakatifu

Wakitubu na kujiunga katika Harakati za Kuiondoa CCM Madarakani watasamehewa.Kumbuka,Adui yako akikusaidia kuliangamiza Joka lililoingia Chumbani lazima umpongeze.Baada ya Joka kuuawa ndio mtakaa kujadili Tofauti zetu.Kwa sasa nguvu ni Moja tu kumwondoa CCM ili Nchi ipate Maendeleo.Huwezi kupanga mikakati ya Maendeleo kama Joka lipo Chumbani.
 
Unajua maana ya whistle blowers?

Hakuna sehemu ilani ya uchaguzi ya CDM inasema watuhumiwa watatendewa sawa na wenye hatia.

Ni kazi ya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahalifu... kama ilivyofanya kwa akina Mramba et al...
Mkuu,
Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA imesema hivi,
''6.4.1(v) Viongozi wote wa kisiasa na watumishi wa umma ambao walishabainishwa kujihusisha na ufisadi na ubadhirifu (rejea orodha ya mafisadi) ya umma lakini Serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mahakamani kwa kuwa ni washiriki, watafikishwa mahakamani ndani ya siku 180''
Unaelewa maana ya hayo maneno kwenye rangi nyekundu?.

Kwa lugha nyingine, CHADEMA wanasema kwa vile serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mafisadi mahakamani mafisadi waliowataja, basi Serikali ya CHADEMA itawafikisha mahakamani ndani ya siku 180.
 
Ukiona mtu yoyote ana tetea muovu na kujaribu kuhalalisha uovu huo basi ujue mtu huyo nae atakua na nasaba na mhalifu huyo ila yeye bado hajabainika
 
Mkuu,
Wapenda haki na utawala wa sheria walipiga kelele sana baada ya Rais Kikwete kutoa msamaha kwa wezi wa EPA lakini kumbe hata vyama vingine vya siasa vina haiba ile ile ambayo ilikuwa inapigiwa kelele.

Leo tunasikia kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA wakitoa msamaha kwa mafisadi kinyume na Ilani yao ya Uchaguzi.[/QUOT

Kuna tofauti kubwa kati ya chama na serikali. Chama kinaongozwa na sera na itikadi, wakati serikali inaonzwa na katiba ya nchi na sheria mbali mbali. Mtu anaweza kuwa hana hatia kichama lakini akawa na hatia kiserikali/kisheria. Rais akiishaapishwa anatakiwa kulinda katiba ya nchi na sio katiba ya chama chake. Hii ina maana kuwa katiba ya chama ni duni dhidi ya katiba ya taifa. Sheria za nchi ziko juu ya sera za vyama. Kusamehe kunakofanywa na chama katika jukwaa sio sheria kuwa ni lazima ifuatwe na serikali. Mfano, rais Kikwete aliwahi kusikika akisema Mh. Mramba ni jembe la zamani lisiloisha makali, lakini serikali yake haikusita kumfungulia mashitaka na sasa amepatikana na hatia. Usije ukashangaa, serikali ya CHADEMA ikawaburuza mahakamani wale inaowasafisha kwenye kampeni ya uchaguzi.

Angalia mfano mwingine,kuchaguliwa kwa Mheshimiwa Tundu Lisu kuwa mbunge,kulipingwa na chama cha mapinduzi na mgombea wao. Wakati kesi inaendeshwa mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa upande wa Mhe. Tundu Lisu akipingana na chama kilichounda serikali. Katika mazingira kama haya, inawezekana uongozi wa CHADEMA ukawa na mkakati wakupunguza nguvu na idadi ya wapinzani wao katika uchaguzi huu. Je, CCM haiombi kura za wapizani? Hapa kuna tofaut gani kuwapa uanachama. Nadhani uchaguzi ni tarakimu na sio sera.
 
Badala ya kupigana na mtu mmoja mmoja, CDM imeamua kupigana na MFUMO (read kuondoa mfumo unaozalisha mafisadi na ufisadi ambao ni CCM).

Simple and clear
 
Kama fisadi leo ataamua kwa dhati kuupinga mfumo wa kifisadi wa CCM, anakaribishwa chadema kwa ajili ya lengo hilo. Nyakati hizi za Uchaguzi mkuu anayeunga mkono kuiangusha ccm nirafiki yetu mkubwa bila kujali alikotoka!! Kura ya kila mtu kwetu ni ya muhimu sana bila kujali dini yake, msimamo wake, itikadi yake n.k.!! Tunaomba kila mtu ifikapo oktoba 25 aka

Kama akili za hawa ndio tunazitegemea kuleta mabadiliko, basi ccm itatutawala mpaka wajukuu wa wajukuu,
 
Kwa muungano huu wa kimaslahi wa UKAWA sijaona upinzani Tz hebu nihamishie kambi yangu ACT labda ntaona jipya,
 
Viongozi wakuu wa chadema wote ni mafisadi isipokuwa babu slaa tu kwahiyo hawana jipya wanalofanya ni kutembea kwenye njia zao zile zile.
Sijawahi kujua magereza ya Tanzania kwa ajiri ya akina nani?is like hatuna serikali
 
Kwa muungano huu wa kimaslahi wa UKAWA sijaona upinzani Tz hebu nihamishie kambi yangu ACT labda ntaona jipya,
wewe kichwani unashida au wewe si mtz,kwani mpinzani ni nani?change starts with you
 
Mkuu,
Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA imesema hivi,
''6.4.1(v) Viongozi wote wa kisiasa na watumishi wa umma ambao walishabainishwa kujihusisha na ufisadi na ubadhirifu (rejea orodha ya mafisadi) ya umma lakini Serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mahakamani kwa kuwa ni washiriki, watafikishwa mahakamani ndani ya siku 180''
Unaelewa maana ya hayo maneno kwenye rangi nyekundu?.

Kwa lugha nyingine, CHADEMA wanasema kwa vile serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mafisadi mahakamani mafisadi waliowataja, basi Serikali ya CHADEMA itawafikisha mahakamani ndani ya siku 180.
Mkuu nisaidie maana mie sijaenda shule kama wewe,hivi Hapa na wakulaumiwa,chadema wanaotaka kutumia silaha waliyosema iteketezwe kwa Kuwa inatumika kuwaua watu au serikali iliyoshindwa kuiteketeza silaha hiyo na kuiacha iendelee kuua watu?na je huoni kama wakiitumia then ikawasaidia kupata uwezo wa kuteketeza silaha zingine zinazoendelea kuua watu huoni Hilo likawa ni jambo jema
 
Mkuu,
Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA imesema hivi,
''6.4.1(v) Viongozi wote wa kisiasa na watumishi wa umma ambao walishabainishwa kujihusisha na ufisadi na ubadhirifu (rejea orodha ya mafisadi) ya umma lakini Serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mahakamani kwa kuwa ni washiriki, watafikishwa mahakamani ndani ya siku 180''
Unaelewa maana ya hayo maneno kwenye rangi nyekundu?.

Kwa lugha nyingine, CHADEMA wanasema kwa vile serikali ya CCM imeshindwa kuwafikisha mafisadi mahakamani mafisadi waliowataja, basi Serikali ya CHADEMA itawafikisha mahakamani ndani ya siku 180.

mkuu mchokoz weye,hizo huwa hazijibiwi
 
Back
Top Bottom