Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

wewe hvyo tu
mbn kikwete almshka mkn lowasa akimnad 2010 na kumwita jembe?
 
lowasa akienda upinzan ndo fisad? mbn ccm mlshndwa kumshtak kama ni fisad? hiv Andrew chenge c moja ya magamba? vp mlimvua? mbn mlmweka kwny kamati mojawapo ya bunge?
hvi kikwete alpokuwa akiaga bunge,alpomtaja tu lowasa,wabunge wote wa ccm mlmshangilia! au mlikuwa mmelewa?
vp ndan ya kamati kuu mbn wabnge wenu walikuwa wakiimba bdo tna iman na lowasa,,,,heee! iman na fisadi?
 
ccm mtajuta tu safar hii! mlimkumbatia sasa mnamwna hafai! huku mmekula fedha zake!
 
jaman mwenye picha ya kikwete akimnadi lowasa 2010 akimwita jembe,atuwekee hapa
 
Hii hapa
 

Attachments

  • 1437893684244.jpg
    1437893684244.jpg
    9.2 KB · Views: 185
CDM watashinda urais kwa katiba gani hii ya 1977?
au kuna katiba nyingine hizi ni ndoto za mchana, haya mawazo ya kumuomba EL ni kudidimiza chama labda kwa sababu nia ni kupiga pesa.
 
Mkuu,
Kama hii ndiyo hoja yako, kwa nini tuliletewa Ilani ya Uchaguzi ambayo inasema, mafisadi wote lazima wapande mahakamani!

Nadhani ingekuwa ni vizuri kama wangeleta Ilani ya Uchaguzi inayosema, Mafisadi wote watasamehewa baada ya kuomba msamaha.

Unaifahamu historia ya ANC and White settlers mpaka kupata ushindi katika uchaguzi wa mwaka 1994?

Ndiyo mkuu..
Hiyo ilikuwa ilani yao wakati huo ....nafikiri sio ya mwaka huu! So I believe they have at last changed their approach na naamini mimi kwamba hii ndo njia nzuri ya kudeal na haya mambo na sio ile ya awali as it is in their former manifesto.
Kuhusu ANC na white settlers nilichojifunza kwao ni after all those years za ukandamizaji,mauaji na nk againts blacks,they preached Reconciliation and Desmond Tutu did it perfectly well.
 
Teh Teh hata kwa kumsamehe fisadi ili kupata kura za watanzania? Sasa kwa misingi hiyo kwani mnahitaji kuiondoa CCM?
To change this corrupt system architectured by CCM na vibaraka wao. Then Reconciliation kwa wale wote waloifisadi Tanzania na watu wake....na we start afresh from there onwards...ndo maana ya UKOMBOZI MPYA in my view.
 
kwahiyo kumbe cdm walikuwa hawana mgombea urais walikuwa wanasubiri wapate kutoka ccm.huwa hakuna aliekamilika tungeju au ningejua inakuja baada yakitendo nimawazoyangutu
Mkuu,
Hoja siyo ugombea Urais, hoja ni kusamehe mafisadi ambao wao wenyewe walituambia kama wakipewa dola watawafikisha mahakamani na wale ambao wana kinga za kisiasa lazima wawaondolee hizo kinga za kisiasa.

Kwa sasa walichokuwa wanakisema kimekuwa hakina hata maana yoyote!

Ilani ya Uchaguzi imekuwa ni kikaratasi tu ambacho hakina maana yoyote!
 
Nadhani unapenda kuona kwa mara ya kwanza chama cha siasa kinakataa kupokea wanachama wapya hapa duniani,si ndio?
Mkuu,
Haya siyo maneno yangu bali ni Ilani ya Uchaguzi ya Chadema!
 
Ilani ya chadema imepoteza mantiki kabla hata haijapata nafasi ya kutekelezwa.

Basil Mramba angejua kumbe angejiunga fasterfaster Chadema angekuwa kashasamehewa sasa hivi.
Mkuu,
Siasa za Tanzania zinahitaji roho ngumu kama ya paka!

Yaani kabla hata Ilani ya Uchaguzi haijaanza kutumia, tayari imeishatupwa kwenye dustbin!
 
Lakini ingekuwa vyema ungewataja baadhi ya mafisadi ambao wamesamehewa na CDM.Maana kusamehewa ni General kwa mafisadi na ambao sio mafisadi?Sasa sijui kwanini ulichagua mafisadi pekee?au kwa ajili ya tetesi zinazoendelea mkuu!!
Mkuu,
Mimi nimekuwekea sehemu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chadema na kauli za viongozi wakuu wa Chadema.

Siyo mimi niliyechagua mafisadi pekee bali Ilani ya Uchaguzi ya Chadema ndiyo iliyoainisha katika Ibara ya 6.4.1(v) jinsi ya kuwashughuirikia mafisadi.
 
Mkuu,
Mimi yangu ni macho!

Kuna baadhi ya watu hapa janvini walikuwa wa kwanza kupiga kelele kuhusu viongozi mafisadi huku wakiwataja majina lakini kwa sasa wamebadilika wakitaka ushahidi wakati huo huo wanasema wanawasamehe mafisadi ambao waliwataja wao wenyewe.

Jana walikuwa wanatuambia fulani na fulani ni fisadi lakini leo eti anakuomba tena wewe umpe ushahidi wa ufisadi wa yule aliyemtaja ni fisadi!

Yaani wao wametaja majina ya mafisadi halafu wanatuomba tena sisi ushahidi wa ufisadi wa majina waliyotaja!

Haya ni maajabu ya dunia!

Hakuna dhambi isiyosameheka.Fisadi akitubu anakubaliwa hasa kipindi ambacho fisadi anasaidia kuuondoa Utawala Dhalimu.
 
Back
Top Bottom