Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

Ni lini CHADEMA umegeuka kuwa dhehebu la dini?

Tuangalien. hyo kauli mm cjaona ukweli & km mafsad wakienda cdm mm ntahama. cwezi kufuata mafsadi. Hii nafananisha na mbwa kumfuata chatu. huku ni kupoteza dira na tamaa. Mafsadi hawatatupeleka ppte & naamn walshatubu sana huko makansan ila bado sembuse cdm
Mkuu,
Ujumbe wako haueleweki!

Inawezekani ni mimi sijaelewa!

Umeandika katika msingi wa text message, kitu ambacho ni vigumu kueleweka!
 
Katika dibaji ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010-2015, CHADEMA walisema, Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi. ‘’
Wakaenda mbali zaidi na kusema, ‘’ Tumefanikiwa kuwaumbua mafisadi wanaoifilisi nchi yetu na ambao wamefunga fungate na Serikali ya CCM’’.

Hawakuishia hapo, wakasema, ‘’ Hivyo basi, hatua ya kwanza ya kutoka hapa tulipo ni kuushugulikia kwa haraka ufisadi kwa kurudisha na kuhuisha uzalendo na uadilifu katika uongozi wa nchi’’.

Wakamalizia katika Ibara ya 6.4.1(V) ya Ilani ya Uchaguzi kwa kusema,’’Ili kuimarisha kujenga uongozi na kuimarisha utawala bora na utawala sheria, Serikali ya CHADEMA itachukua hatua zifuatazo:

Fast forward miaka mitano, utagundua Ilani yao ya Uchaguzi ilikuwa ni kama kikaratasi tu ambacho hakina maana yoyote hasa ikichukuliwa kwa sasa kauli za viongozi wa CHADEMA zimekuwa ni kama kauli za viongozi wa madhehebu ya dini.

Inaeleweka ni kazi ya madhehebu ya dini kuwasamehe wala rushwa na mafisadi lakini kazi ya serikali ni kuhakikisha wanapelekwa mahakamani ili kujibu mashitaka yao.

Yaani ndani ya serikali ya CHADEMA ukitubu dhambi zako za rushwa na ufisadi kwa maneno, unasamehewa na kuwa Mwanachama hai wa CHADEMA na kupewa uongozi.

Ni lini CHADEMA imegeuka na kuwa moja ya dhehebu la dini nchini Tanzania?

Mafisadi wote waende wakatubu Chadema
 
CRAAAAAAAAPPPPP.........sasa naamini kuna watz kama wwe mleta mada mliamini kwamba zile za ESICUROUW si za umma
 
Ilikuwaje mkawadanganya wananchi kuwa mngewapeleka mafisadi mahakamani na kuwafunga kama mtu "akitubu" anasamehewa? Kusamehe si ni kazi ya makanisa na misikiti?!

CHADEMA ni chama cha kilaghai.

Kwani chadema ni chama au saccos mkuu?
 
Mafisadi wote waende wakatubu Chadema

Baba paroko slaa anawapa watu kitubio et....!! Sasa hicho kitubio mwisho lini? Ha ha ha......Au hadi 2020 ni mwendo wa kuiba na kutubu....... 7×70 ndio mpango?
 
Adui wa adui yako ni rafiki yako!

Very simple logic
Mkuu,
Hoja yako ina mantiki gani kuhusiana na CHADEMA kuwasamehe mafisadi wakati kwenye Ilani ya Uchaguzi wanasema watawakamata na kuwapeleka mahakamani?

Kwa hiyo unataka kusema mafisadi ndani ya CCM ni rafiki wa CHADEMA!

Sina uhakika kama umeisoma thread na kuielewa.
 
Mashangao makubwa, waliokuwa wanadaiwa ni mafisadi (ccm) sasa wanakaribishwa ukawa. Kumbe lengo la ukawa ni madaraka tu na si vinginevyo.
Hapana unakosea...Lengo ni kubadilisha mfumo uliopo unaoletezea ufisadi kuota mizizi....Kwa upande wangu naamini hiyo ndo approach nzuri zaidi ....kama waSouth walisameheana baada ya uonevu wote ule why not Tz?...cha msingi tu ni kuhakikisha una-tackle the problem from its roots....this is how I see it.
 
Mkuu,
Hoja yako ina mantiki gani kuhusiana na CHADEMA kuwasamehe mafisadi wakati kwenye Ilani ya Uchaguzi wanasema watawakamata na kuwapeleka mahakamani?

Kwa hiyo unataka kusema mafisadi ndani ya CCM ni rafiki wa CHADEMA!

Sina uhakika kama umeisoma thread na kuielewa.
This is 2015 my dear not 2010....got it?
 
Kama fisadi leo ataamua kwa dhati kuupinga mfumo wa kifisadi wa CCM, anakaribishwa chadema kwa ajili ya lengo hilo. Nyakati hizi za Uchaguzi mkuu anayeunga mkono kuiangusha ccm nirafiki yetu mkubwa bila kujali alikotoka!! Kura ya kila mtu kwetu ni ya muhimu sana bila kujali dini yake, msimamo wake, itikadi yake n.k.!! Tunaomba kila mtu ifikapo oktoba 25 aka
Mkuu,
Kwa hiyo wakati CHADEMA wanaandika Ilani yao ya Uchaguzi hawakufahamu kama hata mafisadi yatawangua mkono ili kuiangusha CCM?

Kwa hiyo baada ya mafisadi kuwaunga mkono CHADEMA ndiyo utakuwa mwisho wa ufisadi?
 
Hata wewe unahitaji moyo wa huruma maana bila kusameheana nchi haikaliki na hakuna binadamu atakayeishi. Wewe na mimi tupo leo na tunafanya tunayoyafanya kwa sababu kuna watu walitusamehe huko nyuma. Jaribu tu kuchungulia kwenye maisha yako binafsi. Hivyo, mtu akitubu anastahili kusamehewa!
Mkuu,
Kwa hiyo unataka kusema CHADEMA hawakufahamu kama kuna moyo wa huruma, na kwa maana hiyo, wasingesema watawakamata mafisadi na kuwapeleka mahakamani pindi wakishika madaraka ya nchi?
 
Katika dibaji ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010-2015, CHADEMA walisema, Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi. ‘’
Wakaenda mbali zaidi na kusema, ‘’ Tumefanikiwa kuwaumbua mafisadi wanaoifilisi nchi yetu na ambao wamefunga fungate na Serikali ya CCM’’.

Hawakuishia hapo, wakasema, ‘’ Hivyo basi, hatua ya kwanza ya kutoka hapa tulipo ni kuushugulikia kwa haraka ufisadi kwa kurudisha na kuhuisha uzalendo na uadilifu katika uongozi wa nchi’’.

Wakamalizia katika Ibara ya 6.4.1(V) ya Ilani ya Uchaguzi kwa kusema,’’Ili kuimarisha kujenga uongozi na kuimarisha utawala bora na utawala sheria, Serikali ya CHADEMA itachukua hatua zifuatazo:

Fast forward miaka mitano, utagundua Ilani yao ya Uchaguzi ilikuwa ni kama kikaratasi tu ambacho hakina maana yoyote hasa ikichukuliwa kwa sasa kauli za viongozi wa CHADEMA zimekuwa ni kama kauli za viongozi wa madhehebu ya dini.

Inaeleweka ni kazi ya madhehebu ya dini kuwasamehe wala rushwa na mafisadi lakini kazi ya serikali ni kuhakikisha wanapelekwa mahakamani ili kujibu mashitaka yao.

Yaani ndani ya serikali ya CHADEMA ukitubu dhambi zako za rushwa na ufisadi kwa maneno, unasamehewa na kuwa Mwanachama hai wa CHADEMA na kupewa uongozi.

Ni lini CHADEMA imegeuka na kuwa moja ya dhehebu la dini nchini Tanzania?

Nakuuliza swali kidogo hapo wewe ulipo ni Mtakatifu? Kama jibu ndio na uwe wa kwanza kuwahukumu cdm .
 
Tumefanikiwa kuwaumbua mafisadi
wanaoifilisi nchi yetu na ambao
wamefunga fungate na Serikali ya
CCM’’.
Hakutakuwa na fisadi aliyefunga fungate naserikali
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Sawa kabisa. Sasa wewe siku ya kura wapigie CCM kura yako kwa vile Chadema kama ulivyoelewa wewe ni walaghai, kisha waache wale wanaoiona vinginevyo waamue wapendavyo.
Jengeni chenu kilichosambaratika msipoteze nguvu nyumba jirani.
 
Yaan ni presha.. Lumumba hapakaliki.. Mnafikia mpaka kuja na vifungu vya katiba hapa JF..! Mngekuwa mnazijua na kuzisoma vifungu vya katiba ya ccm basi.. Maana ndo chama chenye serikali itakayomaliza muda wake October..
Mkuu,
Lumumba ndiyo wapi huko?

Hakuna vifungu vya katiba nilivyoleta, nadhani umeelewa vibaya andiko langu.

Niliyoleta ni baadhi ya Ibara za Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA.

Kutokufahamu kwa CCM kuisoma katiba yao hakuwezi kufuta vifungu vya Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA!
 
Mkuu,
Hoja yako ina mantiki gani kuhusiana na CHADEMA kuwasamehe mafisadi wakati kwenye Ilani ya Uchaguzi wanasema watawakamata na kuwapeleka mahakamani?

Kwa hiyo unataka kusema mafisadi ndani ya CCM ni rafiki wa CHADEMA!

Sina uhakika kama umeisoma thread na kuielewa.

Mnahangaika na Lowassa hadi mnatia huruma
 
Katika dibaji ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010-2015, CHADEMA walisema, Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi. ''
Wakaenda mbali zaidi na kusema, '' Tumefanikiwa kuwaumbua mafisadi wanaoifilisi nchi yetu na ambao wamefunga fungate na Serikali ya CCM''.

Hawakuishia hapo, wakasema, '' Hivyo basi, hatua ya kwanza ya kutoka hapa tulipo ni kuushugulikia kwa haraka ufisadi kwa kurudisha na kuhuisha uzalendo na uadilifu katika uongozi wa nchi''.

Wakamalizia katika Ibara ya 6.4.1(V) ya Ilani ya Uchaguzi kwa kusema,''Ili kuimarisha kujenga uongozi na kuimarisha utawala bora na utawala sheria, Serikali ya CHADEMA itachukua hatua zifuatazo:

Fast forward miaka mitano, utagundua Ilani yao ya Uchaguzi ilikuwa ni kama kikaratasi tu ambacho hakina maana yoyote hasa ikichukuliwa kwa sasa kauli za viongozi wa CHADEMA zimekuwa ni kama kauli za viongozi wa madhehebu ya dini.

Inaeleweka ni kazi ya madhehebu ya dini kuwasamehe wala rushwa na mafisadi lakini kazi ya serikali ni kuhakikisha wanapelekwa mahakamani ili kujibu mashitaka yao.

Yaani ndani ya serikali ya CHADEMA ukitubu dhambi zako za rushwa na ufisadi kwa maneno, unasamehewa na kuwa Mwanachama hai wa CHADEMA na kupewa uongozi.

Ni lini CHADEMA imegeuka na kuwa moja ya dhehebu la dini nchini Tanzania?

Mkuu Ng'wamapalala

Amani iwe Nawe.

Hivi Unalipwa Kiasi Per Post Mkuu ?
 
Back
Top Bottom