Ni lazima Rais Magufuli anapatia au anakosea au hakuna katikati

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kwanini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga? I mean kama suala ni huo unaoitwa udiktekta au sijui nguvu ya Polisi dhidi ya Upinzani hakuna jipya Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa hadi alituma askari kuua Waislamu Misikitini Mwembechai na Pemba

Kikwete alifanya akina Slaa walipigwa mabomu Arusha, yule Kiongozi wa mgomo wa madaktari alipigwa karibia kufa, mwingine mwandishi wa habari alipigwa risasi na Polisi Iringa lkn sijuwahi kusikia nguvu kubwa hivi ikitumika nje na ndani, hivyo ni aidha Rais Magufuli anapatia au anakosea na hakuna katikati

Sasa ukiangalia SGR karibia inaisha, umeme wa uhakika stiegler, miundombinu, maji ya kunywa safi na salama, hivyo hawezi kukosea, wanaompinga ni house niggers ambao wananufaika na umaskini wa Mtanzania na kutaka abakie hivyo ili
waendelee kumtawala.

Mbowe alipenda aendelee kukaa bure kwenye nyumba zetu za nhc, Kitila alipenda aendelee kuiba, Rugemalira alipenda aendeleze wizi Zito alipenda aendelee kuiba na rushwa nssf, acacia walipenda waendelee kutuibia na kutokulipa kodi kutumia house negros akina Mwanyika, walanguzi wa korosho waliokuwa wanawaibia Wakulima siku zote lzm wachukie, F.Karume na immma walikuwa mabilionea kwa kuishauri Serikali halafu kuigeuka kuishitaki leo hii hana kazi ndo maana kakimbilia instagram sijui eti shangazi wa Taifa n.k., ...
 
Kwa nini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga? I mean kama swala ni huo unaoitwa udiktekta au sijui nguvu ya polisi dhidi ya Upinzani hakuna jipya Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa hadi alituma askari kuuwa Waislamu Misikitini Mwembechai na Pemba, Kikwete alifanya akina Slaa walipigwa mabomu Arusha, yule Kiongozi wa mgomo wa madaktari alipigwa karibia kufa, mwingine mwandishi wa habari alipigwa risasi na Polisi Iringa lkn sijuwahi kusikia nguvu kubwa hivi ikitumika nje na ndani, hivyo ni aidha Raisi Magufuli anapatia au anakosea na hakuna katikati, sasa ukiangalia SGR karibia inaisha, umeme wa uhakika stiegler, miundombinu, maji ya kunywa safi na salama, hivyo hawezi kukosea, wanaompinga ni house niggers ambao wananufaika na umaskini wa Mtanzania na kutaka abakie hivyo ili
waendelee kumtawala.

Mbowe alipenda aendelee kukaa bure kwenye nyumba zetu za nhc, Kitila alipenda aendelee kuiba, Rugemalira alipenda aendeleze wizi Zito alipenda aendelee kuiba na rushwa nssf, acacia walipenda waendelee kutuibia na kutokulipa kodi kutumia house negros akina Mwanyika, n.k., ...
Afadhali mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikaa Bure kwenye nyumba za NHC, Huyu kichaa wenu alimhonga hawala yaka SUNDI MALOMO nyumba ya serkali
 
Kwa nini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga? I mean kama swala ni huo unaoitwa udiktekta au sijui nguvu ya polisi dhidi ya Upinzani hakuna jipya Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa hadi alituma askari kuuwa Waislamu Misikitini Mwembechai na Pemba, Kikwete alifanya akina Slaa walipigwa mabomu Arusha, yule Kiongozi wa mgomo wa madaktari alipigwa karibia kufa, mwingine mwandishi wa habari alipigwa risasi na Polisi Iringa lkn sijuwahi kusikia nguvu kubwa hivi ikitumika nje na ndani, hivyo ni aidha Raisi Magufuli anapatia au anakosea na hakuna katikati, sasa ukiangalia SGR karibia inaisha, umeme wa uhakika stiegler, miundombinu, maji ya kunywa safi na salama, hivyo hawezi kukosea, wanaompinga ni house niggers ambao wananufaika na umaskini wa Mtanzania na kutaka abakie hivyo ili
waendelee kumtawala.

Mbowe alipenda aendelee kukaa bure kwenye nyumba zetu za nhc, Kitila alipenda aendelee kuiba, Rugemalira alipenda aendeleze wizi Zito alipenda aendelee kuiba na rushwa nssf, acacia walipenda waendelee kutuibia na kutokulipa kodi kutumia house negros akina Mwanyika, n.k., ...
SGR karibu inaisha?
 
Ni kweli anajitahidi kwa mengi mazuri. Angekuwa Kiongozi bora wa zama zote endapo angeweka mbele umoja,amani na ustawi wa taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua unaupungufu wa cd4 kama supika wahi india dada
Kwa nini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga? I mean kama swala ni huo unaoitwa udiktekta au sijui nguvu ya polisi dhidi ya Upinzani hakuna jipya Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa hadi alituma askari kuuwa Waislamu Misikitini Mwembechai na Pemba, Kikwete alifanya akina Slaa walipigwa mabomu Arusha, yule Kiongozi wa mgomo wa madaktari alipigwa karibia kufa, mwingine mwandishi wa habari alipigwa risasi na Polisi Iringa lkn sijuwahi kusikia nguvu kubwa hivi ikitumika nje na ndani, hivyo ni aidha Raisi Magufuli anapatia au anakosea na hakuna katikati, sasa ukiangalia SGR karibia inaisha, umeme wa uhakika stiegler, miundombinu, maji ya kunywa safi na salama, hivyo hawezi kukosea, wanaompinga ni house niggers ambao wananufaika na umaskini wa Mtanzania na kutaka abakie hivyo ili
waendelee kumtawala.

Mbowe alipenda aendelee kukaa bure kwenye nyumba zetu za nhc, Kitila alipenda aendelee kuiba, Rugemalira alipenda aendeleze wizi Zito alipenda aendelee kuiba na rushwa nssf, acacia walipenda waendelee kutuibia na kutokulipa kodi kutumia house negros akina Mwanyika, n.k., ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima siku moja Mbowe aje kukupa mimba, maana si kwa kumtaka huko, haipiti siku! Nafikiri posho yako inapitia kwa Mbowe

Tukirudi kwenye mada! Vingi anakosea, ila vingine anapatia, sio hesabu hiyo kusema ni chanya tu au hasi tu! Jitambue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini nguvu kubwa sana inatumika kumpinga? I mean kama swala ni huo unaoitwa udiktekta au sijui nguvu ya polisi dhidi ya Upinzani hakuna jipya Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa hadi alituma askari kuuwa Waislamu Misikitini Mwembechai na Pemba, Kikwete alifanya akina Slaa walipigwa mabomu Arusha, yule Kiongozi wa mgomo wa madaktari alipigwa karibia kufa, mwingine mwandishi wa habari alipigwa risasi na Polisi Iringa lkn sijuwahi kusikia nguvu kubwa hivi ikitumika nje na ndani, hivyo ni aidha Raisi Magufuli anapatia au anakosea na hakuna katikati, sasa ukiangalia SGR karibia inaisha, umeme wa uhakika stiegler, miundombinu, maji ya kunywa safi na salama, hivyo hawezi kukosea, wanaompinga ni house niggers ambao wananufaika na umaskini wa Mtanzania na kutaka abakie hivyo ili
waendelee kumtawala.

Mbowe alipenda aendelee kukaa bure kwenye nyumba zetu za nhc, Kitila alipenda aendelee kuiba, Rugemalira alipenda aendeleze wizi Zito alipenda aendelee kuiba na rushwa nssf, acacia walipenda waendelee kutuibia na kutokulipa kodi kutumia house negros akina Mwanyika, n.k., ...
Kwani katikati mtu hawezi kuwa amepatia?We mdada vp
 
Magufuli anapatia sana ...mafisadi wanajariby kujitutumua kwa kutumua fedha chafu ya kifisadi lakini wameanza kunyooka
 
Mi c muhenga lakini nna methali yangu nimeitunga kwamba UPELE MTAMU UKIUKUNA MWNZONI ILA MWISHONI HUACHA KIDONDA, sasa acha tumkune jiwe kwa kumkosha kwa sifa za kinafki , Ila mwishoni atatuachia kidonda

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umejitahidi sana kuonyesha namna haki zilivyo kuwa zinavunjwa,ila umesahau kuwa tatizo la watanzania wengi wameathiriwa na ulaji wa ugali(mahindi) yani chakula cha mifugo,,hivyo wanasahau haraka,,hawana kumbukumbu hata kidogo..ndo maana wapuuzi wale walisema wamemchoka vasco da gama wanataka dikteta,,sasa ivi wanapiga kelele,,wakasema ni heshima kubwa kumzomea fisadi lowasa ,,haukupita mda wakamuuzia chama..hili ni janga lililosababishwa na ulaji wa ugali.
 
Back
Top Bottom