Kama ndivyo basi kila la kheri maana kama kuna wizara ambayo walioko hawajui wanafanya nini ni hii ya nishati na madini. Tatizo la umeme halina majibu miaka nenda miaka rudi, tatizo la madini nalo halina majibu. Sasa jamaa wanakazi gani wizarani kama hakuna kitu kinaenda mpaka mwisho kwa mafanikio?David Jairo kupelekwa Nishati na Madini mi ndio naona move of the day. Jamaa alikuwepo wizara ile enzi za IPTL na JK akiwa waziri...Baadae akapotea, alipokuja kuibuka ni katibu wa rais, JK alipochukua nchi, now anamrudisha kulekule Nishati na Madini.
Inawezekana amepelekwa kwa kazi maalum, maana huyu jamaa ni very daring na on the other side ni msaidizi mwaminifu wa JK. Sikilizieni maamuzi bold sasa from Wizara ya Nishati na Madini...Mzee Mwakapugi walikua wanampelekesha tu mzee wa watu, hana makuu, alichokua anakitaka ni kustaafu salama na kakipata.
Kwa wanaomfahamu hebu watueleze, Mbena si yule aliyekuwa Hazina kitengo cha fedha za nje? ambaye alishiriki katika kuwachotea mafisadi fedha za CIS?Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi pia inasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prosper Mbena kuwa Katibu wa Rais. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mbena alikuwa Msaidizi wa Katibu wa Baraza la Mawaziri, na anachukua nafasi ya Bwana Jairo.
Kwa kuwa IPTL bado ni moto unaowaka chini kwa chini....David Jairo kupelekwa Nishati na Madini....
Inawezekana amepelekwa kwa kazi maalum, maana huyu jamaa ni very daring na on the other side ni msaidizi mwaminifu wa JK...
Nimecheeeeka. Nikupe Jimbo?Kwa kuwa IPTL bado ni moto unaowaka chini kwa chini....
Na kwa kuwa wakati IPTL inaanza Mukulu alikuwa Wizarani....
Na kwa kuwa jamaa ni msaidizi mwamnifu wa Mukulu....
Na kwa kuwa jamaa ni very daring....,
basi kuna uwezekano kweli amepelekwa kwa kazi maalum
Ndo uzuri wa JF...shoka huwa linatupwa shinani moja kwa moja. Labda daring yake ni kuyakabili yatakayojiri maana huo moto wa chini kwa chini ndo ile sauti ya madai ya haki itendeke bila mwekezaji kujeruhiwa peke yakeKwa kuwa IPTL bado ni moto unaowaka chini kwa chini....
Na kwa kuwa wakati IPTL inaanza Mukulu alikuwa Wizarani....
Na kwa kuwa jamaa ni msaidizi mwamnifu wa Mukulu....
Na kwa kuwa jamaa ni very daring....,
basi kuna uwezekano kweli amepelekwa kwa kazi maalum
++
N
Yaani huyu badala ya kumuondoa na mambo ya Meremeta na vitambulisho anampeleka kwenye viwanja vyetu???? Haa tutasikia bosi wake Masha naye kahamishwa!!!!????
jairo kaula...
David Jairo kupelekwa Nishati na Madini mi ndio naona move of the day. Jamaa alikuwepo wizara ile enzi za IPTL na JK akiwa waziri...Baadae akapotea, alipokuja kuibuka ni katibu wa rais, JK alipochukua nchi, now anamrudisha kulekule Nishati na Madini.
Inawezekana amepelekwa kwa kazi maalum, maana huyu jamaa ni very daring na on the other side ni msaidizi mwaminifu wa JK. Sikilizieni maamuzi bold sasa from Wizara ya Nishati na Madini...Mzee Mwakapugi walikua wanampelekesha tu mzee wa watu, hana makuu, alichokua anakitaka ni kustaafu salama na kakipata.
Hah hah... JK anawabeba waislamu, teuzi zake zote udini mtupu anajaza waislamu tu tena hawana sifa.
Wapo wapi wapondaji? au ndio mambo ya status quo?
Una maana gani Mkuu? DINI na KABILA navyo ni vigezo kwenye TEUZI hizi?! TUMEKWISHA!Binafsi sijaona udini kwenye uteuzi huu. Naona bwana mkubwa ame-balance vizuri.
Una maana gani Mkuu? DINI na KABILA navyo ni vigezo kwenye TEUZI hizi?! TUMEKWISHA!
Hah hah... JK anawabeba waislamu, teuzi zake zote udini mtupu anajaza waislamu tu tena hawana sifa.
Wapo wapi wapondaji? au ndio mambo ya status quo?
Nimekuelewa. Vigezo hivi vipo sana ingawa havisemwi hadharani. CCM wanavitumia sana hasa baada ya Mwalimu kuondoka madarakani.Mkuu angalia vizuri kwenye hiyo post yangu No. 37 hapo juu. Nilikuwa na-respond kwenye post ya mkuu Eddie hii hapa chini.
Sikuwa na maana ya kuwa kabila au dini ni kigezo cha kuteuliwa kwenye cheo fulani. Hope umenielewa.