Ni kweli ZITTO amesema hivi ama?

Ni kweli ZITTO amesema hivi ama?

sijuikitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
286
Reaction score
12
"Tanzania Daima Leo habari yao kuu ni 'Kikwete amjenga Zitto'. Nisingeshangaa Kama habari hii ya kizushi ingetoka Jamboleo. Nashangaa habari hii kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na Kiongozi Mkuu wa Chama changu. Sijengwi na mtu, NINAJIJENGA!" -Zitto Kabwe



Maana hayo maneno kwenye "qoutes" ni utumbo, kama Zitto umesema hivyo, hebu jielezee kidogo.
 
Karibu ndugu yangu sijui kitu,....ulipotelea wapi
 
Kayaandika yeye tena katika Wall yake ya Facebook. Nadhan sio mjadala na hakuna hoja hapa!
 
Kayaandika yeye tena katika Wall yake ya Facebook. Nadhan sio mjadala na hakuna hoja hapa!

Offcourse kujijenga pia ni strategy moja ya kuwa na wanasiasa wenye mvuto na ushawishi. Hoja haina Tija sasa mtoa thread alitaka ajengwe na nani?
 
zitto anajijenga.... kwa kutumia opportunities zilizopo

ulitaka asemeje?
 
Back
Top Bottom