Ni kweli watakaopata mikopo Chuo Kikuu mwaka huu ni waliopata Division 1 & 2?

wa ukae

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
2,649
2,008
Poleni sana wana jamvii nilitaka kujua hivi mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu kwa mwaka huu itatolewa kwa wale waliopata division1&2 kwa mwaka huu?

Maana huu uvumi umeenea sana kiasi kwamba umezua sintofahamu kwa baadhi ya wahitimu haswa ukichukulia maamuzi mengi kwa mwaka huu ni ya hapo kwa papo je kuna ukweli wowote kwa hili?
 
Si kweli
 
Inaonekana huna uwakika wa kupata division 1,2 sasa subiri siulimchagua mwenyewe.

NB mwenye ule wimbo auweke hapa
 
SIO KWELI, Bali kwa wale wanaotaka kusomea program za afya tu ndio lazma wawe na Div 1 or 2.ila progra nyngne kama Education,law, ICT,Environment,agriculture n.k hata ukipata div 3.unapata mkopo. Source www.heslb.go.tz
 
Hiyo ya div 1 na2 kwa afya ni kwa ajili ya
SIO KWELI, Bali kwa wale wanaotaka kusomea program za afya tu ndio lazma wawe na Div 1 or 2.ila progra nyngne kama Education,law, ICT,Environment,agriculture n.k hata ukipata div 3.unapata mkopo. Source www.heslb.go.tz
Hiyo div 1 na 2 kwa afya ni kigezo cha kuwa granted ada na sio loan. nadhani hukuelewa vizuri boss
 
Tatizo letu wa tz wavivu kusoma, kila kitu na link ipo lakini naona ubishano w si kweli kweli.
 
Poleni sana wana jamvii nilitaka kujua hivi mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu kwa mwaka huu itatolewa kwa wale waliopata division1&2 kwa mwaka huu?

Maana huu uvumi umeenea sana kiasi kwamba umezua sintofahamu kwa baadhi ya wahitimu haswa ukichukulia maamuzi mengi kwa mwaka huu ni ya hapo kwa papo je kuna ukweli wowote kwa hili?

Mwaka huu hadi 2019 ni division 1 na 2 tu ila mwaka 2020 mkopo utaanzia kwa wenye divison 0, wale wasiofanya mtihani hadi wenye 1 na baada ya 2020 mziki ni ule ule wa divisio 1 na 2 hadi tena 2025 ambapo nadhani hawatakuwa wanaangalia tu division bali safari hii wanaweza wakapita nyumba kwa nyumba kukupa mkopo hata kama huna nia ya kubukua.
 
Unazingua. Hahahahah
 
ww n mzmaa
 
mkuu umeamua kufurahisha barza au upo makini na taarifa yako?
 
Tatizo letu wa tz wavivu kusoma, kila kitu na link ipo lakini naona ubishano w si kweli kweli.
Sio kila asomaye huelewa, la msing sema ulichoelewa ww.. Yawezakuwa hata ww umeelewa ndivyo sivyo...!!!
 
Back
Top Bottom