Ni kweli wanawake wapo wengi kuliko wanaume?

Utofauti wa idadi ya kijinsia ni mdogo sana, almost ni kama tuko sawa hii ni kutokana na data
 
Kwa ratio ya vizazi tu kwenye ukoo wetu this time kila bro kapata mtoto wa kike yani plus wadogo zangu.

Everybody has a girl child kwa mwaka jana mpaka sasa kuna visichana kama 7 vimezaliwa no boy child.
Mi ofisini kwangu walimu wanne wamezaa watoto wa kiume mfululizo na mmoja ana wa4 sasa
 
Achana na conspiracy theory deal na takwimu, sensa 2012 Tz wanawake 52% ,wanaume 48% ,kidunia world bank and UN data 2021 wanaume 50.4% ,wanawake 49.6%
πŸ€” kwamba wanawake wangapi walipigana vita yoyote unayoijua wewe weka kwa asilimia.

Na yooote niliyoandika hapo ninaweza kukuthibitishia kwa reliable sources pia kama utahitaji.
 
Hata ukipanda usafiri wa umma...train, basi au ndege...wanaume wengi...sasa sijui wako wapi hawa wamama.....ila kwenye makongamano ya ibada wanakuwa wengi. Na wengi wanatafuta mume au mtoto.
Halafu wanachagua wanataka mtoto was kiume
 
Mkuu kuna mambo hayahitaji uwe na digree ndio uyatambue,
Jibu ni moja tu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,na ili kuthibitisha hilo fuatilia report za mahospitalini uwiano kati ya me na ke wanaozaliwa kwa kila siku,
Sio kweli. Kwa hii hoja hako. Na bahati mbaya kwa hili watu wengi Wana uelewa mfogo kuhusu watoto wapi wanazaliwa wengi. Ukweli ni kwamba watoto wa kiume wanazaliwa wengi kuliko wa kike. Ila Sasa mfumo wa maisha unapelekea wanaumme wengi kufa kuliko wanaumme. Nikute tu mifano. Majambazi. Vibaka. Wezi. Waathirika wa madawa ya kulevya. Wafungwa. Wavuvu. Wanaofanya Kaz za risk kubwa. 90 ni wanaumme na mambo haya hupelekea wanaumme kufa kwa wing kuliko wanawake

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mwehu?
 
Mkuu kuna mambo hayahitaji uwe na digree ndio uyatambue,
Jibu ni moja tu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,na ili kuthibitisha hilo fuatilia report za mahospitalini uwiano kati ya me na ke wanaozaliwa kwa kila siku,
kwetu wanaumw wawili wanawake walizaliwa nane, jirani yetu wanaume waili wanawake sita kwenye ukoo hivo hivo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haijawahi kutokea wakazaliwa watoto 100 halafu wa kiume wakawa wengi,halafu Kati ya hao wachache wengine wanakuja kuwa mashoga,idadi ya wanaume inazidi kupungua kila siku.
Ukipata mda tafuta nurse atakuambia wanaozaliwa wengi ni Wanaume Zaid ya wanawake
 
unafahamu Kuwa Quruan inasema tuoe hata wanawake 3 sisi wanaume.
ilijua wanawake watakuwa wengi .
mfano nenda hospitali angalia idadi ya watoto wanaozaliwa 100 -wakike ,29 -wakiume tena hiyo ni siku moja
Sio kweli wanaozaliwa wengi ni wakiume kuliko wakike tafuta mkunga wa hospital atakuambia
 
Mkuu kuna mambo hayahitaji uwe na digree ndio uyatambue,
Jibu ni moja tu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,na ili kuthibitisha hilo fuatilia report za mahospitalini uwiano kati ya me na ke wanaozaliwa kwa kila siku,
Hizo ni theory, zingatia data world bank report 2019 world population women 49.6% men 50.4% ,Tz census 2012 men 49% women 51%
 
Achana na propaganda zingatia takwimu za sensa, world bank report 2019 world populatuon women 49.6% men 50.4%,tz sensa 2012 men49% women 51%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…