ndugu zangu ni jambo la kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau napenda tujadili hili swala, je ni kweli wanawake hawapendani? na kama ni kweli wanawake hawapendani ni kwasababu gani hawapendani? mbona haisemwi wanaume hawapendani!
Wanawake sio watu ndo maana ile amri ya upendo wanaipuuzia. Hayo ndiyo majibu sahihi ya maswali yako yote.
Ukitaka kujua ukweli wa msemo huu angalia kwenye ulingo wa siasa,ukweli ni kuwa sensa inaonyesha nchi nyingi wanawake ni wengi kuliko wanaume (ikiwemo tanzania),lakini shuhudia ukija upigaji kura si wanawake si wanaume wote kura huwa wanazimwaga kwa wagombea wanaume hata kama kuna mgombea mwanamke.
Kuna tetesi Dr Asha Rose Migiro huenda akagombea uprezidaa,embu nambie umesikia mwanamke gani anafungua mdomo kusema 'yes Dr go go go'? Lakini angalia kina magufuli,El,wassira etc wanavyopigiwa upatu....tells you everything.
Afu weweee, basi tu
Hebu njoo tuone watu wanazaaje[/QUOTE
Mwenzio staki naogopa........halafu ujue ntakushtaki kwa mama .
Mwenzio staki naogopa........halafu ujue ntakushtaki kwa mama .
Ni watu bana ndo maana wametuzaa.
Zambi ujue,halafu ujue mwalimu mkuu amekataza vya baba na mama.Kidogo tu
Kinguo nguo
Mmmmmmhhhhh sitii neno hapa,subiri waje wenyewe.Bakery sio mkate;
Data sio information;
Mgomba sio ndizi;
Mbuni sio kahawa;
Mpunga sio mchele,
Yai sio kuku;
Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu.
Bin = Mwana
Adam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu)
Hawa-wezi kuzaa toto kama weweBakery sio mkate;Data sio information;Mgomba sio ndizi;Mbuni sio kahawa;Mpunga sio mchele,Yai sio kuku;Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu. Bin = MwanaAdam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu) WANAUME HALISIHawa = Msaidizi wa AdamHawa-elewiHawa-pendaniHawa-elewekiHawa- jazia lolote ni la kwao hao akina hawa.
Hawa-wezi kuzaa toto kama wewe
Changia mada wewe - wasemaje kuhusu hili?