Ni kweli wanaume wenye maumbile makubwa.........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli wanaume wenye maumbile makubwa.........?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mcharuko, Aug 8, 2012.

 1. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili jambo ambalo nimelisikia
  hivi karibuni, eti wanaume wenye maumbile makubwa wana
  uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa au kuambukiza
  magonjwa ya zinaa hususani UKIMWI kuliko wale wenye
  maumbile madogo?

  Eti wanaume wenye maumbile madogo wana nafasi ya
  kunusurika kwa asilimia kubwa kuambukiza au kuambukizwa?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Umesikia wapi?
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wewe kweli mcharuko !
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,136
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa, maumbile makubwa yapi?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Dawa yake ni kuvaa mipira tu,acheni propaganda za kutaka kupotoshana ,jikinde kwa kuvaa mipira
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Swali lako mwanangu gumu. Linahitaji utafiti wa kina na siyo kuhisi wala kukurupuka. Hata hivyo magonjwa ya zinaa yanawapata wazinzi sana kuliko wale wasiozini wawe na maumbile makubwa au madogo.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  hiyo ni kweli kabisa, maana friction coefficient is HIGH..
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mcharuko!!! Vp kwani? Una maumbile makubwa nini?
   
 9. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duuuu .....mmhhh.. mbona mnatutisha?
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Swali lake ni zuri sana ambalo linahitaji majibu ya kitaalam, nashangaa wanaomshambulia.Kumbukeni kuna prof. kama sikosei ni Kenya alitafiti na kugundua wanaume waliotahiriwa wana uwezekano mdogo wa kuambukizwa ukimwi kuliko ambao hawajatahiriwa.Ingawa ni tofauti na swali la mleta mada lakini unaweza pata picha jinsi haya mambo ya kisayansi yasivyohitaji kukurupuka.Wataalam mtusaidie.
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Friction ndio utamu wenyewe, kwa hiyo the more utamu the more risk. Concluded.
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mmh! muwamba ngoma ujivutia kwake!
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Agreed..!
   
 14. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ushindwe!!
   
 15. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ya vizazi na vifo.
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Au una jamaa mdogo nn? Usidanganyike
   
 17. t

  tan 90 Senior Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hahahaha
   
 18. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  saluni, ingekuwa sehemu ya uhakika kama
  Hospitali au Redioni kutoka kwa mtaalamu
  nisingeuliza.
   
 19. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwa swali hili tu, au kuna mengine?
   
 20. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Maumbile makubwa mikono,miguu,kifua,kiuno
   
Loading...