Ni kweli wanaume wenye maumbile makubwa.........?

Jamani naomba ufafanuzi juu ya hili jambo ambalo nimelisikia
hivi karibuni, eti wanaume wenye maumbile makubwa wana
uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa au kuambukiza
magonjwa ya zinaa hususani UKIMWI kuliko wale wenye
maumbile madogo?

Eti wanaume wenye maumbile madogo wana nafasi ya
kunusurika kwa asilimia kubwa kuambukiza au kuambukizwa?

Mcharuko!! aah kweil umecharuka! ngoja wenyewe madokita wakupe majibu
 
Back
Top Bottom