Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
Tokea nkiwa primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu wana mila na desturi ambayo naona ni zaidi ya maajabu,inasemekana mtoto wa kike asipoolewa hasa kuanzia miaka 25,30 na kuendelea na ikatokea bahati mbaya kafariki,wanaukoo hua wanakaa kikao na kutoa ng'ombe kadhaa kwa mwanaume atakaye mlala huyo mfu ili kuondoa nuksi kwenye ukoo!,la ajabu zaidi nasikia pia wanaume katika eneo husika hugombania kupata tenda hiyo,jaman ni kweli wana wa kaskazin na kanda ya ziwa?,tujuzeni ama tuondoleeni huu ukungu......