Tokea nkiwa
primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si
mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu
wana mila na desturi ambayo naona ni zaidi ya maajabu,inasemekana mtoto
wa kike asipoolewa hasa kuanzia miaka 25,30 na kuendelea na ikatokea
bahati mbaya kafariki,wanaukoo hua wanakaa kikao na kutoa ng'ombe kadhaa
kwa mwanaume atakaye mlala huyo mfu ili kuondoa nuksi kwenye ukoo!,la
ajabu zaidi nasikia pia wanaume katika eneo husika hugombania kupata
tenda hiyo,jaman ni kweli wana wa kaskazin na kanda ya ziwa?,tujuzeni
ama tuondoleeni huu ukungu......
kwa sababu mleta thread hajielewi.
UNAWEZAJE kusema watu wa kanda ya ziwa na kazisikazini wote wawe na utamaduni sawa?yaani makabila machache nayoyajua.
Wamasai,wachaga,wapare,waarusha,wakurya,wazanaki,wajita,wahaya,wasukuma.
SASA HAWA WOTE NI WA KANDA YA ZIWA NA KWA MJIBU WA THREAD YAKO ILIYOKOSA VIELEZO UNAWAJUMULISHA KUWA WANAFANYA HILI.
naanza mimi,kwetu usukumani hatuna tamaduni ya kijinga hivi.
pia inawezekana ulisikia tukio wewe ukajua ni utamadamu.
I don't think so,hilo jambo kifupi halipo,haiwezekani pamoja na uhatari wote lisipigiwe kelele na nilisikie mara ya kwanzwa hapa.Ukeketaji tu kila siku unaripotiwa na kupigwa vita sembuse hili.
Nimetumia lugha ya kiswahili kuelezea ninachokisikia na sijawahi kusikia lugha inaitwa ya 'KUSIKIA',lakin elewa 'EVEN A WISEMAN CAN BE TAUGHT WISDOM',[/QUOTE
Ndio maana nikasema wewe ni kilaza na Mshinga akaongezea kuwa hujielewi.Unasema nilivyosema lugha uliyotumia ya kusikia inakufanya usipewe makombora ulielewa na maanisha kuna jina la lugha inaitwa KUSIKIA? Naona yawezekana ulichohadithiwa ni tofauti na ulicholeta hapa kwani uwelewa wako ni mdogo mno ndugu yangu na wala usijilaumu Mungu ndio mpaji wapo wengine unawazidi jipe moyo! unashindwa kuelewa sauti ya nasibu yenye kuleta maana ni lugha!!!!!
Je katika kusoma na kuzunguka kwako kama ulivyo jinasibu hapo kwenye uzi wako hujapata sikia lugha iliyotumika kwenye kipengere hiki ni ngumu sana kwa akili yako unafikiri ni jina la lugha mfano neno kiswahili/ kingereza basi!!!!! POLE!!!!!
ulichosema kiasi flani ni kweli lakini kwa hili sio hata kidogo! Labda uchawi sasa maana mambo yao yako kigiza zaidi tunaweza tusijue, mwenyewe anadai ni dili hadi watu wanagombania! anaenda mbali anasema limetapakaa kwa kanda ya ziwa na kasikazini yaani eneo lote hilo hata wewe usiwe na taarifa na mwenyewe anadai ni dili kubwa tu kwa wahusika! huenda jamaa kwao ni wachawi!!!!!!!!!!!Katika ulimwengu wa mila na desturi, jambo lolote lawezekana
Mtu akishhafariki anaweza toa sperm?
How?
Interesting. . .
Nimetumia lugha ya kiswahili kuelezea ninachokisikia na sijawahi kusikia lugha inaitwa ya 'KUSIKIA',lakin elewa 'EVEN A WISEMAN CAN BE TAUGHT WISDOM',[/QUOTE
Ndio maana nikasema wewe ni kilaza na Mshinga akaongezea kuwa hujielewi.Unasema nilivyosema lugha uliyotumia ya kusikia inakufanya usipewe makombora ulielewa na maanisha kuna jina la lugha inaitwa KUSIKIA? Naona yawezekana ulichohadithiwa ni tofauti na ulicholeta hapa kwani uwelewa wako ni mdogo mno ndugu yangu na wala usijilaumu Mungu ndio mpaji wapo wengine unawazidi jipe moyo! unashindwa kuelewa sauti ya nasibu yenye kuleta maana ni lugha!!!!!
Je katika kusoma na kuzunguka kwako kama ulivyo jinasibu hapo kwenye uzi wako hujapata sikia lugha iliyotumika kwenye kipengere hiki ni ngumu sana kwa akili yako unafikiri ni jina la lugha mfano neno kiswahili/ kingereza basi!!!!! POLE!!!!!
mi mshinga kaka,kwa ushinga wangu ungenambia unachoelewa na si jazba duh...
Nashukuru kunirahisishia kazi kuelewa wewe ni wa aina gani! Hicho chuo ulicho hitimu kinaitwaje? Mshinga ni moja kati ya watu walio kujibu na akaeleza hujielewi nasikitika pamoja na kusoma nilicho kiandika ukadhani nilimaanisha mjinga kweli hizo stori nazo naamini ulielewa vibaya, hiyo level yako hainifai kwa kweli duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mi mshinga kaka,kwa ushinga wangu ungenambia unachoelewa na si jazba duh...