eti umeishia la ngapi vile?!! et chuo!!! may b vile vya ghorofa ya 3, unakuta jengo la bar en g.house imegeuzwa kuwa chuo.. ndo vinavyoproduce wa2 kama ww. et kanda ya ziwa na kanda ya kaskazin, inawezekana hata hajui kanda ya ziwa ina mikoa mingapi na kaskazin ni mingapi.