Ni kweli USA supremacy ina collapse?

Hiyo sentensi paragraph ya pili ungeiandika kwa herufi kubwa.
 
Huwa najiuliza ni vipi himaya yenye nguvu kama soviet union ilidondoka ila marekani ikabaki
 
Huwa najiuliza ni vipi himaya yenye nguvu kama soviet union ilidondoka ila marekani ikabaki
Hao wanaorun marekani ndio walioingiza hiyo Soviet Union kwa malengo yao na kuiondoa wao. Kikubwa mkuu hii dunia inasiri nyingi napia mambo mengi yanayotokea hapa duniani sio kwa bahati mbaya hata kidogo.

Mfano unafikiri Vita ya pili ya dunia iliisha tarehe 11 Mwezi wa 11 na saa 11 kwa bahati mbaya au kuuwa kwa sir archduke Fran's Ferdinand by a Bosnia student ndio reason ya vita vya kwanza vya dunia jibu Ni no means mambo haya yalipangwa nakuwa calculated vizury. Kwa manufaa ya wale waliyoyapanga wao nawala sio by mistake hata kidogo.
 
Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Wamemfanyaje tena hao SADIKI!? mbona wanataks kutuletea mabalas hawa!??
 
Wanapokosea nikujichanganya na ushoga kuuingaza Hadi makanisani

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na Taiwan ikipotea, huenda Hong Kong ikafuata.
Ishu ya Hong Kong na Macau hizi U.S.A hawaziwezi wame kwisha chelewa walijaribu 2019 & 2020 moto walio washiwa wa Hong Kong hawato rudia, halafu pia kwenye haya maeneo uongozi wote wa haya maeneo umepata baraka kutoka Beijing tofauti kidogo na Taiwan yule mama wa Taiwan[ Tsai ing wen ] kwanza sio mchina pure ni mixer ya kijapan na kichina ndio maana anachuki binafsi na PRC hata lugha ya kichina ni nadra kumkuta ana tumia twitter yeye ni kijapan & kiingereza tofauti na wachina waliowengi wako proud na lugha yao na tamaduni zao , pili chama cha DPP kina mkono wa U.S.A maafisa mbalimbali wa Taiwan wana uraia wa Taiwan & U.S.A ubaya ni kuwa U.S.A haitambui Taiwan kama taifa huru bali sehemu ya China moja na hapa ndipo panapo mkaba U.S.A labda avunje makubaliano ya kimataifa ya 1971 na makubaliano ya China na U.S.A ya 1972, 1978 & 1979 na hii ndio faida aliyo nayo China U.S.A akivunja hayo makubaliano nina uhakika wa asilimia 90% PRC kuivamia ROC . Ila huyu mama Tsai ing wen ni pandikizi la kijapan atawasumbua sana PRC mpaka ufike uchaguzi 2024 PRC watakuwa hoi sana
 
Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Wameishia wapi?
 
Hamna upuuzi kama huo . Ulishawahi kufika USA AU UNASIKIA TU . SISI HAKUNA MAJI , AFYA HAKUNA , HAKUNA UMEME MBULAAA ISIKIE TU MAREKANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…