Leo US imetangaza kuuza silaha za hatari za kwa jeshi la majini la Taiwan. Kuna kitu US anajaribu kumchokonoa China, kuna namna US anamtafuta China aingie anga zake ila mchina ni kama ameshausoma mchezo.Kumshinda U.S.A sio kitu chepesi Kama baadhi ya watu wanavyo dhani inahitajika akili nyingi zaidi kuliko nguvu nyingi hata China wenyewe hili mara kadhaa kupitia wachambuzi nguli wa kisiasa wa CGTN China wamekuwa wakisema mara kadhaa ninapo kuwa nawa fuatialia target ya China kuifikia uchumi U.S.A ni mwaka 2050 hapo sio kuipita bali ni kuifikia tu na Kuna mawili China inaweza kuifikia au kutoifikia kutokana na sababu mbalimbali hasa hasa ishi ya Taiwan ikiripuka na hii ndio risasi moja kuu U.S.A aliyo nayo kumdhibiti China kama wangelijua haya yanayo tokea sasa hivi U.S.A , U.K na Portugal ishi za Macau na Hongkong wasingekubali zirudi China kiurahisi vile ishu ya Taiwan nayo walijikanyanga hasa hasa U.S.A miaka ya 1971, 1978+ 1979 hapa kwa kweli kwenye hizi ishu Deng Xiaoping na Chairman Mao waliwazidi maarifa na ujanja viongozi wa U.k, Portugal na U.S.A . Wataalamu mbalimbali wa siasa za kimataifa wanasema kwa sasa hakuna ushindani hatari unaotokea Kama wa U.S.A na China hawa wana ushindani wa hatari katika maswala mbalimbali ya kiuchumi, Kisayansi/kiteknolojia na kibiashara makampuni mbalimbali ya U.S.A yanajimegua taratibu kutoka China na makampuni makubwa ya kiserikali kutoka China Yana jitoa kutoka katika soko la hisa la marekani , China kapigwa ban na U.S.A kwenye Chips serikali ya China wamewekeza kiwanda chao kupitia mwanachama wao wa CPC Kama kawaida yao kudevelop Chips making na Sasa hivi kiwanda cha China SMIC kinakuja kwa kasi balaa katika ulimwengu wa Chips mpaka kimekuwa tishio kwa TSMC na marekani , Belt& Road Initiative[ 1 tln dollar wamewekeza ] nao marekani na G- 7 nao wanakuja na ya kwao [ 600bln dollar wamewekeza ] , kwenye space race napo China na Marekani wanatifuana balaa hii Vita ya kibiashara kati ya marekani na China inafurahisha na kuelimisha ukiifuatilia lakini kwa hali inavyo kwenda lazima kuna mmoja kati yao atapotezwa balaa.
Naona US wanatumia kila namna kufanya uchokozi...lakini nafikiri kitendo cha China kuendelea kukaa kimya kinaweza sababisha yeye kuipoteza Taiwan....au mkuu mtizamo wako no upi?Leo US imetangaza kuuza silaha za hatari za kwa jeshi la majini la Taiwan. Kuna kitu US anajaribu kumchokonoa China, kuna namna US anamtafuta China aingie anga zake ila mchina ni kama ameshausoma mchezo.
Yaani mkuu hili battle la China na U.S.A Lina furahisha balaa kwa watu wanao lifuatilia China anatafutwa kadri U.S.A inavyo weza Ila China ana mkwepa U.S.A Ila huu mtafuto wa U.S.A kwa China 🙌 akichomoka China hapa hakika atakuwa amemuweza U.S.A Ila huu mtafuto Kuna hati hati anaweza akajaa kwenye 18 za mtu mzima U.S.A wacha mimi niendelee kufuatilia hili battle la U.S.A na China la Ukraine na Russia nawaachia wengine maana Nina mengi sana ya kujifunza kupitia huu mchuano wa China na U.S.A namna hizi nchi giant zinavyo endeshwa na wataalamu.Leo US imetangaza kuuza silaha za hatari za kwa jeshi la majini la Taiwan. Kuna kitu US anajaribu kumchokonoa China, kuna namna US anamtafuta China aingie anga zake ila mchina ni kama ameshausoma mchezo.
Hapa mchina mkuu ana tafutwa balaa kuitangaza na kuitambua Taiwan kama nchi huru hili litakuwa bomu la mwisho la mtu mzima U.S.ANaona US wanatumia kila namna kufanya uchokozi...lakini nafikiri kitendo cha China kuendelea kukaa kimya kinaweza sababisha yeye kuipoteza Taiwan....au mkuu mtizamo wako no upi?
Sawa shabiki wa HimaarsHicho kitu hakipo over!
...Hawa wote ni wamoja hawana uadui wowote. Wanatuchezea tu akili.
my dead
Siyo shabiki wa HIMARS hata wewe hapa unapost kwa hisani ya USA. Tuache ushabiki wale wapo mbali. They control everything you see and and everything you hear!Sawa shabiki wa Himaars
Sio kweli,wanachoweza zaidi ni fitna na unyojaji Kwa wengine,angalia wanavyo nyanyaswa na mrusi,kwani ameshaeajulia wao ni fitna unyonyaji na Hila ndio wanacho mudu zaidi🚶Siyo shabiki wa HIMARS hata wewe hapa unapost kwa hisani ya USA. Tuache ushabiki wale wapo mbali. They control everything you see and and everything you hear!
Nilitaka kuelezea kwa mapana lakin kwakua watu wanachukulia Mambo kawaida, nipende kusema kuwa kwa wale wanaoliangalia taifa la marekani kwa jicho la tatu.Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Hao watu ndio watakaoiangusha hiyo USA mipango Yao ikitimia. Nadhani umeona hiyo Picha hapo juu bush putin na Rais WA China wakiwa kwa lodges za FM. They are not enemies like pipo think. But wote wana kiongozi mmoja ambaye Nia yake ni New world order. Na haiweiz kuwa mpk aondoe Old order ambayo ndio hii Sasa ambayo USA ni kama Kiranja WA Dunia. Aka bwana demokrasia hiyo New Wolrd order haitakuwa na mambo ya demokrasia. So lazima USA na China waingie vitani wapasuke Ile mbaya Dunia iwe apeche alolo... And since wote bwana wao ni mmoja so it's easy ni kama KUPIGANISHA mbwa wako wawili unaowamiliki.Nilitaka kuelezea kwa mapana lakin kwakua watu wanachukulia Mambo kawaida, nipende kusema kuwa kwa wale wanaoliangalia taifa la marekani kwa jicho la tatu.
Wanajua what is going on katika dunia yetu hii, kwa ufupi nipende kusema ijapokua ukweli mchungu napia unauma. nikwamba kuanguka kwa taifa la marekani cjui kinguvu na kiushawishi dunia hilo halitakaa litokee .
Sababu tatizo sio taifa la marekani bali wanaorun taifa la marekani hao ndio tatizo, nakwakua ni ngumu kuwakwepa sababu wapo kila sehemu katika dunia yetu hii. Hivyo atakayeweza kuwadhibiti hawa watu ndie atakayeweza kuliangusha taifa la marekani, si mwingine bali ni Mwenyezi Mungu pekee mwenye uwezo huo. Be aware people's there is GOD a bove and the devil below.
sbr muda utaongea , USA sio mchina , muuliz mwenzio Rais wa Afghanstan alidinda watu wakamuachia Tailban akakimbia nchi , kuna kitu USA anakipika dhidi ya AfrikaMarekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Ofkoz China anaweza ipoteza Taiwan sababu kwa sasa Taiwan inaonesha kujiimarisha zaidi kisiasa na kijeshi.Naona US wanatumia kila namna kufanya uchokozi...lakini nafikiri kitendo cha China kuendelea kukaa kimya kinaweza sababisha yeye kuipoteza Taiwan....au mkuu mtizamo wako no upi?
hahahahaaaaaHaitokaa kuja kuwepo nchi yenye nguvu kama usa..kumbuka usa ni taifa la kila mtu..hao wachina wamejazana usa..waarabu..wahindi..wazungu..waafrika..wareno..
Kila race unayoijua duniani ndiyo inaunda usa.
Hata wewe mleta uzi unatamani uwe raia wa usa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nasemaga kila siku humu, CIA ni chombo hatari saaaana.Yaani mkuu hili battle la China na U.S.A Lina furahisha balaa kwa watu wanao lifuatilia China anatafutwa kadri U.S.A inavyo weza Ila China ana mkwepa U.S.A Ila huu mtafuto wa U.S.A kwa China [emoji119] akichomoka China hapa hakika atakuwa amemuweza U.S.A Ila huu mtafuto Kuna hati hati anaweza akajaa kwenye 18 za mtu mzima U.S.A wacha mimi niendelee kufuatilia hili battle la U.S.A na China la Ukraine na Russia nawaachia wengine maana Nina mengi sana ya kujifunza kupitia huu mchuano wa China na U.S.A namna hizi nchi giant zinavyo endeshwa na wataalamu.
Na Taiwan ikipotea, huenda Hong Kong ikafuata.Hapa mchina mkuu ana tafutwa balaa kuitangaza na kuitambua Taiwan kama nchi huru hili litakuwa bomu la mwisho la mtu mzima U.S.A
vitbu vyenu ni USAIDS , pia madawa hata fedha za kujazia bajeti zenu , dinda wakuonesheBoss,Humu ndani wote ni Watanzania, hakuna mmarekani wala mrusi wala mchina au muiran, kama wapo basi ni wa kuhesabu. Hakuna sababu ya kuwa na uzalendo kwa nchi isiyokutambua kwa kiwango cha kupika uongo kuitetea, tukiweka uzalendo wa nchi za watu pembeni tukaongelea facts USA ana ushawishi kiuchumi kuliko nchi nyingine na uchumi ni silaha bora ya ushawishi wa kidiplomasia. Data zipo wazi, kama kuna mtu ana maelezo tofauti atupe hiyo elimu.