BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,580
- 3,510
Labda mleta mada angetueleza hao wataalamu wa kimataifa wametumia vigezo vipi?Biggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Wasipokuelewa hapa nakushaur achana nao. Hakuna ushawishi siku hizi pasipo maslahi.Yap mkuu, ndo maana nikauliza ushawishi katika nyanja ipi sababu nchi nyingi hupenda kuwa na uhusiano mzuri na nchi zenye gdp kubwa.
Asante mkuu...vipi kuhusu inshu ya dollar? Kuna nyuzi kadhaa nimepitia humu wameandika ruble sasa inaanza kuipiku dollar..hapo unazungumziajeLabda mleta mada angetueleza hao wataalamu wa kimataifa wametumia vigezo vipi?
Ndani ya miaka ya hivi karibuni, bado naona US anazidi kwa ushawishi na nguvu zake zikizidi kuongeza. Hii agenda ya US kushuka chini haijaanza leo wala jana, toka miaka ya 70, 80 na 90, na sasa ni 2020. Zamani alikuwa akipambanishwa dhidi ya Japan, mara German na sasa China.
Ni ngumu kumshusha US kutokana na uchumi wake ulipo. Leo hii kuhusu viwanda, teknolojia, huduma n.k ni US ndo ameshika dunia, kuhusu bank ya dunia na taasisi za kifedha zinazojihusisha na mataifa huko tusiguse, hizi taasisi zote zinaendeshwa na yeye.
Kibaya zaidi ni kuwa, China ndiye anayegemewa kumpiku US, china huyu huyu? China ambaye hata kijeshi hana uthubutu dhidi ya US. China ambae uchumi wake unapaa kutokana na US kuwekeza kwake na kumruhusu mchina auze zaidi kwake, hapo tusizungumzie Ulaya ambayo ipo mifukoni mwa US. China ana pesa ambazo ni kutoka kwa hawa washirika wa US na US mwenyewe. US akiamua kupambana na mchina, ni baada ya miaka michache tu utaona China akishuka kwa kasi.
Pia unaposema US hana ushawishi, yaani ushawishi wake unapungua huwa unatazama nini????? Embu tutazame hili la Ukraine pekee.
China hajaisaidia Ukraine? China amepeleka nini kwa Russia kumpush ktk hii special op yake? Unajifunza nini kwa China kutomzingua US juu ya Taiwan, hakuna picha yoyote unayopata juu ya China kwa US?
Mataifa mangapi yamepiga kura ya kupinga op ya Russia pale Ukraine? Wale walosema hawafungamani na upande wowote maana yake pia wanapinga hii op.
Nachojaribu kusema ni kwamba, nguvu ya US sio ndogo. US sio chombo kidogo, ni heavy. Mleta mada atazame budget za US pengine atapanua ufahamu zaidi.
Korea Kusini ilitengana na Kaskazini, leo sote twashuhudia maisha baina nchi hizi mbili ni yapi mazuri. Japan pia vile vile maisha aliyonayo ni baada ya kuwa na ushirika na US.Hakuna chenye nguvu zaidi ya pesa.US bado yuko na ushawishi mkubwa sana maana ameweza kuwafanya nchi zenye nguvu kama UK,FRANCE & GERMANY zicheze mziki anaouimba
Siipendi USA lakini ushawishi alikuwa nao, ushawishi ktk siasa ni pamoja na huko kuogopwaMarekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Maswali mazuri.Labda mleta mada angetueleza hao wataalamu wa kimataifa wametumia vigezo vipi?
Ndani ya miaka ya hivi karibuni, bado naona US anazidi kwa ushawishi na nguvu zake zikizidi kuongeza. Hii agenda ya US kushuka chini haijaanza leo wala jana, toka miaka ya 70, 80 na 90, na sasa ni 2020. Zamani alikuwa akipambanishwa dhidi ya Japan, mara German na sasa China.
Ni ngumu kumshusha US kutokana na uchumi wake ulipo. Leo hii kuhusu viwanda, teknolojia, huduma n.k ni US ndo ameshika dunia, kuhusu bank ya dunia na taasisi za kifedha zinazojihusisha na mataifa huko tusiguse, hizi taasisi zote zinaendeshwa na yeye.
Kibaya zaidi ni kuwa, China ndiye anayegemewa kumpiku US, china huyu huyu? China ambaye hata kijeshi hana uthubutu dhidi ya US. China ambae uchumi wake unapaa kutokana na US kuwekeza kwake na kumruhusu mchina auze zaidi kwake, hapo tusizungumzie Ulaya ambayo ipo mifukoni mwa US. China ana pesa ambazo ni kutoka kwa hawa washirika wa US na US mwenyewe. US akiamua kupambana na mchina, ni baada ya miaka michache tu utaona China akishuka kwa kasi.
Pia unaposema US hana ushawishi, yaani ushawishi wake unapungua huwa unatazama nini????? Embu tutazame hili la Ukraine pekee.
China hajaisaidia Ukraine? China amepeleka nini kwa Russia kumpush ktk hii special op yake? Unajifunza nini kwa China kutomzingua US juu ya Taiwan, hakuna picha yoyote unayopata juu ya China kwa US?
Mataifa mangapi yamepiga kura ya kupinga op ya Russia pale Ukraine? Wale walosema hawafungamani na upande wowote maana yake pia wanapinga hii op.
Nachojaribu kusema ni kwamba, nguvu ya US sio ndogo. US sio chombo kidogo, ni heavy. Mleta mada atazame budget za US pengine atapanua ufahamu zaidi.
my dead bodyHicho kitu hakipo over!
Upo sahihi mkuuUna elimu gani mkuu? Hii ni mada pana na ndefu kuidadavua.
U S A ushawishi wao kuanguka ni pale utakapoona anapigana vita na nchi zifuatazo, Germany, France, United Kingdom .
Boss,Humu ndani wote ni Watanzania, hakuna mmarekani wala mrusi wala mchina au muiran, kama wapo basi ni wa kuhesabu. Hakuna sababu ya kuwa na uzalendo kwa nchi isiyokutambua kwa kiwango cha kupika uongo kuitetea, tukiweka uzalendo wa nchi za watu pembeni tukaongelea facts USA ana ushawishi kiuchumi kuliko nchi nyingine na uchumi ni silaha bora ya ushawishi wa kidiplomasia. Data zipo wazi, kama kuna mtu ana maelezo tofauti atupe hiyo elimu.Wasipokuelewa hapa nakushaur achana nao. Hakuna ushawishi siku hizi pasipo maslahi.
HIYO HAIPO.
Niliwahi kusema humu, ni CIA pekee ndiye mwenye kujua huenda miaka 50 mbele maisha yatakuaje, wenzetu kila mwaka wanatekeleza kile walichopanga siku za nyuma, hawanaga jambo jipya kwao.Mkiyanunua makapuni yote makubwa duniani yanayomilikiwa na marekani labda Facebook, youtube, google, twitter, instagram, Coca-Cola, Pepsi, Apple, Nokia, visa, master card, mifumo yote ya kibenk, IMF, WB na mengine bila hivyo mtaendelea kusota sana juu ya anguko la Marekani
Makapuni makubwa mengi ya china yanilikiwa na wamarekani
Halafu CIA watakuwa wakiwaangalia mpaka waanguke!!
Us now yupo miaka 100 mbele ndio anawazia sio kesho.
Kuna yo yote aliyefikiria himaya ya Kirumi ingekuja kufa? Mtu ambaye angezungumzia hilo wakati huo angeonekana punguani. Vivyo hivyo na Marekani.Hicho kitu hakipo over!
Mbali na siasa, kijeshi pia yupo vizuri. Kiteknolojia na kiuchumi tusizungumze maana huko hana mpinzani.Siipendi USA lakini ushawishi alikuwa nao, ushawishi ktk siasa ni pamoja na huko kuogopwa
Kwa technologia mfano ya kijeshi hajamfikia Russia.Mbali na siasa, kijeshi pia yupo vizuri. Kiteknolojia na kiuchumi tusizungumze maana huko hana mpinzani.
Ukubwa wa uchumi wa Marekani una mwisho wake, lakini kufikia leo tarehe 29 Aug 2022 kurudi nyuma bado ni uchumi wenye nguvu zaidi duniani.Kuna y
Kuna yo yote aliyefikiria himaya ya Kirumi ingekuja kufa? Mtu ambaye angezungumzia hilo wakati huo angeonekana punguani. Vivyo hivyo na Marekani.
Mpaka sasa hivi Engine za Rocket za maana walikuwa wanamtegemea Russia hata kwenye satellite ya kimataifa wanamtegema Russia.Mbali na siasa, kijeshi pia yupo vizuri. Kiteknolojia na kiuchumi tusizungumze maana huko hana mpinzani.