wew umesha toa conclusion yako sisi ni nani sasa tupingane na mawazo yako ndugu mtaalam wa masuala ya kitaifa na kimataifa kutokea hapo NSA Rangi3Habari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
| Rank | Country | GDP in billion $ | GDP in $ per capita |
|---|---|---|---|
| 1 | United States | 22,996.1 | 69,288 |
| 2 | China | 17,734.1 | 12,556 |
| 3 | Japan | 4,937.4 | 39,285 |
Ujaielewa comment yangu tumepita njia tofauti.Biggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Okey mkuu puna.Ujaielewa comment yangu tumepita njia tofauti.
Ushawishi ni kitu kingine, na GDP kubwa ni jambo jingine...Biggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
China anaenda kumpiku sio mda ingawa marekani anajitahidi kumkandamizaBiggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Unaweza kua na GDP kubwa ila huna influence kwa mataifa mengineBiggest economies in 2021 by gross domestic product
Rank Country GDP in billion $ GDP in $ per capita 1 United States 22,996.1 69,288 2 China 17,734.1 12,556 3 Japan 4,937.4 39,285
Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Yap mkuu, ndo maana nikauliza ushawishi katika nyanja ipi sababu nchi nyingi hupenda kuwa na uhusiano mzuri na nchi zenye gdp kubwa.Ushawishi ni kitu kingine, na GDP kubwa ni jambo jingine...
Umeuliza swaliHabari wakuu,
Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.
NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.
Karibuni wakuu
Habari wakuu,

Kama anamkandamiza inamaana anamudu, Inawezekana muda bado ila hakuna jambo linalodumu milele.China anaenda kumpiku sio mda ingawa marekani anajitahidi kumkandamiza