Ni Kweli Ukinyonga Msokoto kitandani unakua Vizuri?

Ni Kweli Ukinyonga Msokoto kitandani unakua Vizuri?

Bila shaka wewe ni Makonda unatafuta majina ya wavuta ndumu!
 
na nyie wanaume mmeanza kuwa kama wanawake wanaotafuta watoto, hata tukiambiwa tule mavi ya mmbwa tunakulaga...

na nyie wanaume na hizo nguvu zenu za kiume mkiambiwa mvute bangi inaongeza nguvu mtavuta muwehuke!!

tafuteni njia mbadala jamani.
bangi wengine zinawafanya wawe mazezeta.. huku mtaani kwetu kama fashion mazezeta kibao.
 
Me nikivuta Sijawahi kuotea nikawa kwenye sex game.. Ngoja nijaribu kesho Kutwa nilatela mrejesho
 
Bangi haiongezi nguvu za kiume. Inaondoa tu changamoto za kisaikolojia kama vile woga na kutokujiamini mbele ya demu ambavyo hupelekea underperformance kwenye ligi ndogo.
 
Bangi haiongezi nguvu za kiume. Inaondoa tu changamoto za kisaikolojia kama vile woga na kutokujiamini mbele ya demu ambavyo hupelekea underperformance kwenye ligi ndogo.
Na hiki tu ndio kinawaangusha wengi sana round hii kwenye mtanange.
 
Back
Top Bottom