kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Nimekuwa nikisikia hii kitu ni chakula cha majini na hivi sasa nashuhudia TBC1 Askofu wa kanisa katoliki Olasiti AR anafukiza ubani kibao kuweka wakfu altare na sasa wanataka kuwasha mishumaa.Nini ukweli wa hii kitu maana naamini watu wengi hawapendi kabisa matumizi ya hii kitu kwa hofu ya. Kuwa ni kuita majini au mapepo wabaya
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums