Ni kweli safari ya Rais Samia imeleta fursa kwa Watanzania?

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Safari za Rais Samia Suluhu zimekua zikileta matokeo chanya kila siku lakini hii safari ya China imekua babkubwa imeleta Fursa nyingi kwa watanzania zitakazoinua uchumi wa nchi na wananchi Fursa hizo ni za kibiashara kama vile;

1. Kufungua kwa soko kubwa la usafirishaji wa maparachichi kutoka Tanzania kwenda China.
2. Soko la usafirishaji wa mabondo ya samaki pamoja na bidhaa nyingine za uvuvi kutoka Tanzania kwenda china.

Ukiachana na Fursa hizo za kibiashara, China imeipunguzia Tanzania sehemu ya deni lake la thamani ya Tsh Bilioni 31.4.

Lakini pia Tanzania imepata msaada wa RMB milioni 100 za ushilikiano wa kiuchumi na kitaaluma baina ya nchi hizi mbili.

Vilele China imetoa mkopo wa dola za kimarekani milioni 56.72 kuendeleza ujenzi wa ndege wa zanzibar Terminal II.

Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja Toka Tanzania ipate uhuru
 
IMG-20221103-WA0042.jpg
 
Hiyo mikataba ya Siri ni ufisadi mwingine wewe na watoto wako mtalipa mpaka vitukuu Kwa kuwasha gilia wahuni
 
She's totally disgrace.
 
Hiyo mikataba ya Siri ni ufisadi mwingine wewe na watoto wako mtalipa mpaka vitukuu Kwa kuwasha gilia wahuni
Hakuna mambo kama hayo mzee huu ni utawala mwingine Rais Samia Suluhu analengo la kuimarisha uchumi Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom