Ni kweli pesa mnapata ila cha moto mnakiona

Ni kweli pesa mnapata ila cha moto mnakiona

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Mnakutana nazo zilizo pindia kushoto,mnakutana nazo zilizo pindia kulia,nakutana nazo zilizo pindia juu,mnakutana nazo zilizo pindia chini.Japo kuna wakati mnapata raha lakini kuna muda mnatamani hata mrudishe pesa za watu.

Mnakutana na Wazee wanene kama K*mb@ wamejaa Nywele kila sehemu ya mwili mzee anatisha kinoma
kazi mnayo kweli. Pesa mnapata lakini cha moto mnakiona.

By: SUPU YA MAWE
 
Aiseeeeeee! Dah! Na wengine kilo zao si zaidi ya 60 ila wanalaliwa na kilo 80+
 
Mashaka haya wallah naisi na wewe nimmoja wao maana yaonekana ushaakutana nazo unakauzoefu kwenye iyo fani,mpaka ukajua wanakutana nazilizo pinda kulia,kushoto,juu,chini hahaha hongera zako
 
Mnakutana nazo zilizo pindia kushoto
Mnakutana nazo zilizo pindia kulia
Mnakutana nazo zilizo pindia juu
Mnakutana nazo zilizo pindia chini
Japo kuna wakati mnapata raha lakini kuna muda mnatamani hata mrudishe pesa za watu

Mnakutana na wazee wanene kama K*mb@ wamejaa nywele kila sehemu ya mwili, mzee anatisha kinoma
KAZI MNAYO KWAKWELI, Japokuwa pesa mnapata lakini cha moto mnakiona

By: SUPU YA MAWE

Mbona pesa wao wanatoa siku hizi? Au una gundu? Au unajifanya bwana mapesa.
 
Last edited by a moderator:
Mnakutana nazo zilizo pindia kushoto
Mnakutana nazo zilizo pindia kulia
Mnakutana nazo zilizo pindia juu
Mnakutana nazo zilizo pindia chini
Japo kuna wakati mnapata raha lakini kuna muda mnatamani hata mrudishe pesa za watu

Mnakutana na wazee wanene kama K*mb@ wamejaa nywele kila sehemu ya mwili, mzee anatisha kinoma
KAZI MNAYO KWAKWELI, Japokuwa pesa mnapata lakini cha moto mnakiona

By: SUPU YA MAWE

Kauli kama hii isemwe na mtu asiye na watot wa kike, dada, mama, shangazi and the like. Kama una hao watu basi jitafakari na watafakari hao niliowa-list
 
Hata kama ni kweli...waache wapate ujuzi na uzoefu. Huu ndo uzuri wa hii dunia....Upate chungu...afu upate tamuuu. Ama upate tamuuu...afu upate chungu...mambo swaaafiii kabisa.

Hainogi wew daily unasoma majibu tuuu...na maswali hujawahi kuyaona...! BILA CHANGAMOTO..MAISHA HAKUNA.
 
isue ya nywele na kitambi ndogo sana kwani shaving mashine ni shingapi nakumnyoa huku pochi imetunishwa .
kama huna hela utaongea sana mkuu
hata ukitoa bure zilizopinda fupi ndefu utazikutatu tena kwa wingi
 
Kuna tatizo kwani???? Kuna mtu kakuazima chako akafanyie????
 
Wewe ndo unayeumia kitu elastic hiki na hakuna tamu isiyo na chungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom