Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
aziniye na mwanamke hana akili kabisa
Kaaaazi kweli kweli....
heheheeee, hii mupya kwa hiyo unamaanisha waanze kuzini na wanaume wenzao? Wonder shall never end
habari ya leo mdada? naona wameanza kujishtukia
......lol... Yaaani hii topic mpaka yachosha akili..... Wee mzima lakini??
wanatakiwa kufanya tendo la NDOA na wake zao. Kuzini ndo upumbavu,ila tendo la ndoa ni amri kabisaa japo kwa kiasi!
Nimekuelewa bibie ila nilikuwa najaribu kuitafakari ile post, mwandishi kasema "Anayezini na mwanamke hana akili" sasa nkajiuliza kwa hiyo ni ruksa kwa mwanaume kuzini na mwanaume mwenzie?
Mie sijambo, leo tangu naanza kufungua nakutana na nyuzi zinazohusu wadada tu, naona kimvua kilichonyesha kama kimedisturb mind za watu humu
asante kwa kuelewa. hiyo ya mwanaume na mwanaume mwenzie, ngoja ruta aje manake mstari wake una maneno makali sana mie siyawezi huwa nayasoma na jicho moja. ila nao wanaambiwa hawataingia mbinguni
Nyumba ndogo ni wasanifu! Tupo kibiashara zaidi, tunaitaji maangalizo tofauti coz siyo mkeo, na ndiyo mana ukatupa jina la nyumba ndogo. Kwa hiyo tupo kwa mkataba tu, kinachomfanya awe na wewe ni maslahi, sasa kama maslahi hayapo ndiyo utaona wanakusaanifu coz tunatambaa kuangalia ustaarabu kwengine!, kwani mwajiri wako akifilisika wewe unamsaanifu unapobwaga manyanga? hapana, wewe unaomba kazi sehemu nyingine coz upo pale kwa maslahi bana! Je ungekua na hisa kwenye kampuni ungeondoka kama inafilisika? hapana, ungejitaidi kuinusuru kwa kila hali hadi tone la mwisho kama Gadaffi alivyofanya kwa nchi yake! Hivyo ndivyo kwa nyumba ndogo, yeye hana hisa na wewe, mwenye hisa nawe ni mkeo. NYIE NDIYO MNAJIHISI MNASANIFIWA WENZAKO WALA TUPO KAZINI BUBULAKE. wanaume muwe na akili za mbayumbayu msije mkajigonga kwenye jiwe ukijifanya unakomaza mdomo