Ni kweli nyumba ndogo wanatusanifu?

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
815
Hivi wenzangu nambieni.

Ni kweli kwamba hawa nyumba ndogo huwa hawatupendi wanatusanifu tu??????? Eti wanatakaga tu pesa?
 
Ni kweli nyumba ndogo huwa wanatusanifu, vile vile hata sisi wanaume tunapenda kusanifiwa, utakuta mke wako ana simu mbovu hata batani hazionekani halafu imefungwa na mpira (rubber bend) lakini nyumba ndungo ina simu ya shs laki mpya safi na ina vocha za kutosha, mke wako hata hajui kitenge cha wax kinafananaje ila nyumba ndogo kila aina ya wax ikitoka ananunuliwa, nyumba ndogo ina samani(furniture) za thamani kuliko kwako, yaani huwa tunachekwa kindani ndani. Ukiwa na matatizo unashare na mke wako ukipata hela mbio kwa nyumba ndogo.
 
wanatakiwa kufanya tendo la NDOA na wake zao. Kuzini ndo upumbavu,ila tendo la ndoa ni amri kabisaa japo kwa kiasi!
heheheeee, hii mupya kwa hiyo unamaanisha waanze kuzini na wanaume wenzao? Wonder shall never end
 
......lol... Yaaani hii topic mpaka yachosha akili..... Wee mzima lakini??

Mie sijambo, leo tangu naanza kufungua nakutana na nyuzi zinazohusu wadada tu, naona kimvua kilichonyesha kama kimedisturb mind za watu humu
 
wanatakiwa kufanya tendo la NDOA na wake zao. Kuzini ndo upumbavu,ila tendo la ndoa ni amri kabisaa japo kwa kiasi!

Nimekuelewa bibie ila nilikuwa najaribu kuitafakari ile post, mwandishi kasema "Anayezini na mwanamke hana akili" sasa nkajiuliza kwa hiyo ni ruksa kwa mwanaume kuzini na mwanaume mwenzie?
 
mtoa mada, ukitaka kujua kama nyumba ndogo inakusanifu ama vipi:
1 filisika/fulia
2. poteza kazi
3.ugua muda mrefu
ukumbuke mrudisho nyuma baba :washing:
 
asante kwa kuelewa. hiyo ya mwanaume na mwanaume mwenzie, ngoja ruta aje manake mstari wake una maneno makali sana mie siyawezi huwa nayasoma na jicho moja. ila nao wanaambiwa hawataingia mbinguni

Nimekuelewa bibie ila nilikuwa najaribu kuitafakari ile post, mwandishi kasema "Anayezini na mwanamke hana akili" sasa nkajiuliza kwa hiyo ni ruksa kwa mwanaume kuzini na mwanaume mwenzie?
 
Mie sijambo, leo tangu naanza kufungua nakutana na nyuzi zinazohusu wadada tu, naona kimvua kilichonyesha kama kimedisturb mind za watu humu

Umeona eeh?? Hadi Love connect kuna mtu katangaza eti anatafuta mpango wa kando.....lol
 
asante kwa kuelewa. hiyo ya mwanaume na mwanaume mwenzie, ngoja ruta aje manake mstari wake una maneno makali sana mie siyawezi huwa nayasoma na jicho moja. ila nao wanaambiwa hawataingia mbinguni

Wifi King habari yako bana???
 
Nyumba ndogo ni wasanifu! Tupo kibiashara zaidi, tunaitaji maangalizo tofauti coz siyo mkeo, na ndiyo mana ukatupa jina la nyumba ndogo. Kwa hiyo tupo kwa mkataba tu, kinachomfanya awe na wewe ni maslahi, sasa kama maslahi hayapo ndiyo utaona wanakusaanifu coz tunatambaa kuangalia ustaarabu kwengine!, kwani mwajiri wako akifilisika wewe unamsaanifu unapobwaga manyanga? hapana, wewe unaomba kazi sehemu nyingine coz upo pale kwa maslahi bana! Je ungekua na hisa kwenye kampuni ungeondoka kama inafilisika? hapana, ungejitaidi kuinusuru kwa kila hali hadi tone la mwisho kama Gadaffi alivyofanya kwa nchi yake! Hivyo ndivyo kwa nyumba ndogo, yeye hana hisa na wewe, mwenye hisa nawe ni mkeo. NYIE NDIYO MNAJIHISI MNASANIFIWA WENZAKO WALA TUPO KAZINI BUBULAKE. wanaume muwe na akili za mbayumbayu msije mkajigonga kwenye jiwe ukijifanya unakomaza mdomo
 
Trustme I trust you
 
yani nyumba ndogo wanakula kiulaini taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu ,mkeo ndo mliaidiana mtakuwa wote kwenye shida na rahaa nyumba ndogo ni vibuudisho wamekuja mjini kutafuta mtajijua na tamaa zenu .nyumba ndogo huna mkataba nayo wao kazi yao ni kula vichwa tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom