Habarini wakuu.
Hivi ni kweli kwamba kuna mdudu ukimruka unapoteza mwelekeo kupanda unaona unashuka nyumba za kushoto unaona zimegeukia kulia na za kulia hivyo hivyo?
Ni mdudu kweli au ni uchawi wakuu?
Jana nilipatwa na hiyo hali nilijikuta nipo sehemu ambayo wala sikuiwazia ila wakati naenda niliona ndio penyewe. Sasa hiyo hali ilinifanya nione natakiwa kwenda mahali ambapo sipo. Ni barabara ninayoipata kila siku ila jana nikiwa kwenye hiyo hali nilishangazwa na mabadiliko niliyoyakuta.
Nyumba zote nilizokuwa naziona upande wa mashariki mwa barabara niliziona zipo magharibi na vivyo hivyo za magharibi.
Niliona pia badala ya kuelekea kaskazini naelekea kusini, hivyo ilinibidi nibadilishe mwelekeo kumbe nilikuwa napotea.
Nani ana ujuzi na hili? mshana jr mzee wa mila nakuomba huku.

Last edited by a moderator: