Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,808
- 15,578
Nishamkataza jamani, hatokuchokoza tena
Nakuamini nakupenda ujue
Nishamkataza jamani, hatokuchokoza tena
Sasa mbona humkatazi apunguze japo kidogo ntafiria vibaya ujue si wajua tuna vichwa viwili?
Nakuamini nakupenda ujue
Hahahaaa kwa hiyo utafikiria kwa kutumia kichwa cha chini
Hahahaaa kwa hiyo utafikiria kwa kutumia kichwa cha chini
I love you more darling.
Teh teh teh
Ndomanake cha juu hakifanyikazi mda huu at
Endeleaa kukitumia hahahaaaaaa
We hebu muache shemeji yako jamani, unafurahiiii, kesho zamu yako
Sisi leo tunashindaa mapemaaa
Sisi leo tunashindaa mapemaaa
Ila tunatakiwa tuombe sana kibarua si haba