Ni kweli ni kuruka mdudu au ni mazingara?

Ni kweli ni kuruka mdudu au ni mazingara?

Beib hukufanya chochote kibaya ???? Baaada ya kuruka na hizo akil????
Nmesharekebisha mambo Mpesa i hope iyo hali haita jirudia tena
Cc atoto

Baby najisikia huku kwenye sehemu nyet panaumaa
 
Last edited by a moderator:
Kwanza umekumbuka kumpa pole mume wako Manga ML kwa timu yake kufungwa na kulia kama mtoto?

Weeeeeh!! Wamefungwa!! Hata sijui, kumbe ndio maana leo hata simuelewi elewi.
 
Last edited by a moderator:
Shem darling njoo huku mwenzio kakanyaga mdudu akomege kochokoza wakongwe ha ha ja

Cc@evelenk
 
Back
Top Bottom