Ni kweli ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka (Wahenga)

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,456
1,565
waheshimiwa hawa walivuma sana siku za hivi karibuni kwa uthubutu wao wa kupambana na Magufuli katika kinyanganyiro cha kiti cha urais wa TZ. Ghafla wamekua hawasikiki inamaana kule kuvuma kwao ndio ishara ya kuanza kupotea kisiasa?


Duni.jpg
 
Khaaa sasa Ulitaka wavumeje akati uchaguzi ndo umeisha kapatikana Rais au Ulitaka waendeleze kampeni
 
Back
Top Bottom