Ni kweli mwanamke huleta baraka katika ndoa

Inategemeana na bahati yako, wengine baada ya kuoa wakafukuzwa kazi na wengine baada ya kuoa wakafa, wengine baada ya wakafungwa jela.
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha maisha yetu yamekuwa programmed? Kama ni hivyo unaweza vipi kumtambua aliyeandikiwa mafanikio?
Maisha yetu yameshakuwa programed mkuu.,tangu kuzaliwa kwako hadi kifo chako.
Utakuta kuna watu hawatumii nguvu nyingi ktkt mafanikio,lakini wanapata mafanikio kirahisi sn..
Na kuna watu wanatumia nguvu nyingi mno kusaka maisha lakini bila mafanikio.

Kuna code nyingi sn ambazo sisi hatuzifahamu.ktk hii dunia na maisha yetu sisi binadamu.

Na ni ngumu sana kumtambuwa mwenza wako ,ambaye uta match nae ktkt maisha .
Ila utaweza kutambuwa kama ni mfatiliaji mzuri wa kila hatua ya mahusiano yako.

Ndy maana kuna watu wanafunga ndoa na mambo yote yanavurugika kufikia kuachana.
Au anaoa na mambo yako yote yanakuwa mazuri sn kuliko kabla ya ndoa.

Unaweza ukawa na mafanikio,,bila kutambuwa ni mafanikio kwa sababu ya watoto wako .
Watoto pia ni sababu ya sisi wazazi kufanikiwa.
Iliandikwa watazaliwa kwenye family yenye kipato..
Kila kitu kipo kwa mpangilio mkuu..
Wazee Wa zamani hawakukosea kusema ""jitihada hazizidi kudra.""
 
Wenye baraka wapo na wenye mikosi wapo
Na wenye kukufanya ujute pia wapo
Kazi ni kwako
Yeye anachotakiwa kujali ni kula mbususu tuu. Hayo ya baraka apotezee tuu.
Ila bwana tuwe wa kweli kugegeda mbususu za pisi kali zinakupa munkari wa kipiga kazi
 
Hakuna kitu kama hicho... baraka zako ni zako na haziwezi kutokana na mwingine...
Mungu akikubaliki hategemezi baraka zakoo kwa mtu bali kwake yeye...
Kama angetegemeza baraka hizo kwa mtu tungefanywa watumwa wa hao Watu...
But we only have one master to serve...The Lord.
 
Oa utukuze cheo, na jina lipate kuwa
Oa apate mkeo, aambiwe meolewa
Oa kama waowao, moyo usiliye ngowa
Oa ujuwe kukuwa, mupendane na mkeo
 
Tatizo tunashindwa kugundua huyu ana baraka au mkosi ...unakuta umevagaa lenye gundu pasi na kujua
Pattern reading, trends reading...

Weka kumbu kumbu zako vizuri. Toka Ile siku umemuona, Ile siku umemuomba namba.. Vile mlivyoanza chatting na outs.

Na Ile siku ya kwanza kulala nae, na muendelezo wa hapo. Ni routine kusoma hiyo cycle. Utajua uko sehemu sahihi au isiyo sahihi.

Lakini pia ndoa, yani muunganiko wa pamoja katika madhabahu ya Imani yako huwa inavunja laana na mikosi kutoka pande zote. (me na ke) na kuwa na mwanzo mpya. Hapa mkisali Kwa Imani Kwa pamoja mtafanikiwa. Wawili Wana nguvu kuliko mmoja.. Hivyo ni rahisi Sala na dua kusikika na kujibiwa.
 
Inaonekana unatembeza rungu sana kwa wanawake tofauti. "NUKSI"
Mimi ni kijana amabaye sijaoa mpka sasahivi ninakaribia 28+ lakini vijana wenzangu katika rika hili wameshao. Kilichonifanya niseme wanawake wana baraka ni maendeleo ya vijana wenzangu walioyapata soon tu baada ya kuoa.

Mwanzo tulikuwa na maendeleo sawa pia hata kipato kikawa sawa kabisa. Ila gap limetokea baada ya kuoa tu wameniacha mbali sana..pia kipato wamenizidi. Tupo sehemu ya madini Geita wao wakienda wanapata dhahabu sana ila Mimi hapana...hata kama tukijaribu kutafuta wote tunakosa ila wakienda wao wanapata.

Sasahivi wana nyumba kubwa tu na nzuri mpaka nawaza sijui nioe pia nakumbuka nilikuwa na mpenzi wangu ingawa hatukufanikiwa kuoana alikuwa ananiambia MME WANGU KAFANYE KAZI UTAPATA TU nikienda kweli nilikuwa napata.

Karibu kwa ushauri sijui nioe tu na mwanamke anabaraka na ridhiki yake katika ndoa?

Small minded person
Umemaliza chuo age 26 umerudi mtaani huna ajira huna backup ya mama wala mjomba kukupa ata mtaji wa laki umesota kitaani mambo hayaendi unaamua kuoa hivyo hivyo na hali yako miaka miwili mbele unaoa mara gafla biashara zinaanza kutiki mara gari mara ujenzi unaendelea investment za maana hiyo ni miaka miwili baada ya kuoa

endeleeni kujidanganya
binafsi nimeona vijana wengi walikosa muelekeo baada kuoa kwahiyo ukiona mtu ameanza kufanikiwa kwa muda mfupi baada ya kuoa mtathimini
 
Bado unazidi kukazia how small minded you are...
 
Pattern reading, trends reading...

Weka kumbu kumbu zako vizuri. Toka Ile siku umemuona, Ile siku umemuomba namba.. Vile mlivyoanza chatting na outs.

Na Ile siku ya kwanza kulala nae, na muendelezo wa hapo. Ni routine kusoma hiyo cycle. Utajua uko sehemu sahihi au isiyo sahihi.

Lakini pia ndoa, yani muunganiko wa pamoja katika madhabahu ya Imani yako huwa inavunja laana na mikosi kutoka pande zote. (me na ke) na kuwa na mwanzo mpya. Hapa mkisali Kwa Imani Kwa pamoja mtafanikiwa. Wawili Wana nguvu kuliko mmoja.. Hivyo ni rahisi Sala na dua kusikika na kujibiwa.
Nifafanulie vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom