pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Mawazo ya kijinga na kivivu kabisa hayaUkiona kijana wa age hiyo anamafanikio na kaoa hana back up ya mama wala baba ujue anatumia ushirikina kwenye mipango yake
Kwa hiyo mkuu unamaanisha maisha yetu yamekuwa programmed? Kama ni hivyo unaweza vipi kumtambua aliyeandikiwa mafanikio?Mkuu ni kweli kila mwanamke au mwanaume ktk ndoa analeta baraka ktk mahsiano.
-- kama imeandikwa mwanamke ataolewa na mwanamme Mwenye kipato kikubwa,,
basi yeyote atakayemuoa atapata kipato kikubwa.
--kama imeandikwa mwanamke ataolewa na choka mbaya.
Basi yeyoye atakayemuoa ataishia kuwa choka mbaya.
Halikadhalika mwanaume kama imeandikwa ataoa mwanamke Mwenye kipato,
Basi mwanamke yeyote utakayeoa atakuwa na.kipato kikubwa.
-au kama imeandikwa mwanamke ataolewa na masikini basi hata ndoa yake itakuwa hivyo.
Sometimes juhudi zetu za kutafuta maisha zinasababishwa na.mahusiano yetu ya ndoa.
Huwezi ukaamini maneno yangu lakini yana ukweli 100%.
Mkuu kama umeona tofauti na wewe vuta wako.Mimi ni kijana amabaye sijaoa mpka sasahivi ninakaribia 28+ lakini vijana wenzangu katika rika hili wameshao. Kilichonifanya niseme wanawake wana baraka ni maendeleo ya vijana wenzangu walioyapata soon tu baada ya kuoa.
Mwanzo tulikuwa na maendeleo sawa pia hata kipato kikawa sawa kabisa. Ila gap limetokea baada ya kuoa tu wameniacha mbali sana..pia kipato wamenizidi. Tupo sehemu ya madini Geita wao wakienda wanapata dhahabu sana ila Mimi hapana...hata kama tukijaribu kutafuta wote tunakosa ila wakienda wao wanapata.
Sasahivi wana nyumba kubwa tu na nzuri mpaka nawaza sijui nioe pia nakumbuka nilikuwa na mpenzi wangu ingawa hatukufanikiwa kuoana alikuwa ananiambia MME WANGU KAFANYE KAZI UTAPATA TU nikienda kweli nilikuwa napata.
Karibu kwa ushauri sijui nioe tu na mwanamke anabaraka na ridhiki yake katika ndoa?