Ni kweli Mrisho Ngasa na Haruna Chanongo wamesaini Yanga?

Babu Sefu Ally yule beki wa kati wa Kagera sugar nae pia yupo Kambini na Yanga.
 
Ni haki kumsajili maana Yanga ndo mumempotea future yake Ngasa kwa kujifanya ana mapenzi sana na nyinyi bila kumsahau Tegete.

Msuva na wewe jiangalie Yanga pia watakupotezea mda wako.

Enyi wachezaji vijana mnaotaka kwenda kucheza nje ya nchi kamwe msiende Yanga hawauzi wachezaji, nendeni Simba na Azam
 
ngasa n mchezaj huru na mchezaj huru anaruhuswa haya mashndano so ngisi kaomba tu achezee ndala
 
Labda mashindano ya SportPesa yanaruhusu kusajili wachezaji but sidhani kama hao wachezaji watachezea Yanga baada ya hayo mashindano ya SportPesa.Kumbuka hayo mashindano yanaanza wakati wachezaji wengi wako kwenye timu zao za taifa
yanaruhusu wachezaj huru
 
Ni haki kumsajili maana Yanga ndo mumempotea future yake Ngasa kwa kujifanya ana mapenzi sana na nyinyi bila kumsahau Tegete.

Msuva na wewe jiangalie Yanga pia watakupotezea mda wako.

Enyi wachezaji vijana mnaotaka kwenda kucheza nje ya nchi kamwe msiende Yanga hawauzi wachezaji, nendeni Simba na Azam
Ajibu kafanya Trial Mara 3 na timu tofauti tofauti.....

Mkude kaenda south Mara 2 kwa ajili ya Trial.....

Ndio huu mfumo wenu wa kutoa wa mchezaji wakacheze nje ya Bongo?
 
Wachezaji kama hao akina ngasa...
Wanasajiliwa kwa ajili ya KUSHIKA HIRIZI tu...lakini MPIRA HAKUNA humo
 
Ikiwa hivyo nitafurahi sana na naamini hata Ngasa atafurahi pia! Yanga mrudisheni huyo mtu! Bado ana uwezo wa kucheza ligi ya bongo. Ondoa Busungu, Matheo na magalasa mengine rudisha Ngasa!
ngasa ashakua msondo ngoma
 
Ajibu kafanya Trial Mara 3 na timu tofauti tofauti.....

Mkude kaenda south Mara 2 kwa ajili ya Trial.....

Ndio huu mfumo wenu wa kutoa wa mchezaji wakacheze nje ya Bongo?

Ndio kama wangepita si tungekuwa tunajivunia leo? Huyo Msuva ataenda vipi nje kama hata trial tu hatafutiwi?
 
sasa yanga hao wakina mrisho wa nini tena kama hizi tetesi ni kweli
 
Ndio kama wangepita si tungekuwa tunajivunia leo? Huyo Msuva ataenda vipi nje kama hata trial tu hatafutiwi?

Umeanza lini kufuatilia mpira wa Tanzania? Kama hujawahi kusikia Msuva ameenda Kusini kwa ajili ya Majaribio, basi mpira hauko kwa ajili yako.
 
Back
Top Bottom