Ni kweli mapenzi humnufaisha mwanaume tuu.

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Naamini wandugu wote mu bukheri wa afya, ningependa tusaidiane katika dhana hizi na kuona usahihi wake kwani kwa upande wangu huwa zinanipa mgagasuko kuzielewa.

Ni kweli katika mapenzi mwanaume huwa anamtumia mwanamke? maana kuna hizi kauli kama, anataka kukuchezea,au anataka kukuharibu nk.
Sasa ina maana mwanamke yeye huwa anachezewa na yeye hachezei, au yeye huwa aharibu? kwani kuharibu ambako hawa watu huchukulia ni kupi hasa? maana kama tunashiriki katika mapenzi pamoja bila shaka hata mimi akili zangu zitaharibika katika kuacha kufikiria maendeleo na kukufikiria wewe japo ni kwa muda mfupi.
Wadau sijui nyie mnasemaje katika hili.
 
kuhusu kunufaisha, wote wananufaika.

ila kuhusu kuharibu, ni kweli mwanaume anamwaribu mwanamke.....kile kifaa cha kiume hakiharibiki hata ukitumie mara ngapi, ila kifaa cha kike kinachakaaa, ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 2 au 3, ni tofauti kabisa ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 100. ila mwanaume aliyefanya mara 3 na aliyefanya mara 1,000 hakuna tofauti yoyote.
 
kuna hadithi moja zamani ilitokea mtaa mmoja

watoto wa miaka kama kumi na mbili wa kike na wa kiume walikuwa wakichezeana na kufanya mapenzi ktk umri huo.

basi wale wazee wa mtoto wa kike wakawa wanazungumza kuwa mtoto wao anaharibiwa na mtoto wa jirani na wakawa wanajipanga kwenda polisi.

upande wa pili baada ya kusikia hatua ambazo wazee wenzao wanataka kuchukua, mbio walikimbilia polisi na kufungua shtaka la kuwa mtoto wa jirani anawaharibia mtoto wao, wale walishangaa inakuwaje mtoto wa kike amuharibu mtoto wa kiume?

sasa wakati wanaongea polisi mara wazee wa mtoto wa kike na wao wameingia kufungua shtaka, wakaambiwa mbona wenzenu weshakufungulieni, na wanalalama mtoto wao haendi shule, hakai nyumbani, hatumiki kila wakati yuko na mtoto wenu, amemuharibu hataki kusikia wala kufata maelekezo ya wazee wake.

wazee wa mtoto wa kike walichoka.
 
wewe kweli Mutu ya Pwani!!!!!!
 
kiasili katika wawili mara nyingi inatokea mwanaume kuwa na umri mkubwa kuliko mwanamke, there fore ideally ni mwanaume aliyelianziasha penzi kwa hiyo yeye anauwezo wa kulikatiza bila kuathirika sana.

My take: KUVUNJIKA KWA UHUSIANO HUWA KUNATUATHIRI WANAWAKE KULIKO WANAUME
 
mimi ninafikili kwa anayetumia mara nyingi ndo anavokuwa na uzoefu, pia kumbuka experiance matters in everything kwa hiyo mie nafikil baada ya kuona kwamba mwanamke kachakaa mi nafikil tumuone anafaa kwa sababu yu ana uzoefu
kuhusu kunufaisha, wote wananufaika.

ila kuhusu kuharibu, ni kweli mwanaume anamwaribu mwanamke.....kile kifaa cha kiume hakiharibiki hata ukitumie mara ngapi, ila kifaa cha kike kinachakaaa, ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 2 au 3, ni tofauti kabisa ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 100. ila mwanaume aliyefanya mara 3 na aliyefanya mara 1,000 hakuna tofauti yoyote.
 
Kuna mtu mmoja aliniambia this is what most of local (tanzania) women thinks.....
 
yes, na nadhani issue ndogondogo,
kama hizi za wanawake kujinyanyapaa wenyewe,
ndizo zinazowafanya wazidi kuonekana ni viumbe wadhaifu katika jamii siku zote!
Still,wanataka usawa lol....n.k.
 
kuhusu kunufaisha, wote wananufaika.

ila kuhusu kuharibu, ni kweli mwanaume anamwaribu mwanamke.....kile kifaa cha kiume hakiharibiki hata ukitumie mara ngapi, ila kifaa cha kike kinachakaaa, ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 2 au 3, ni tofauti kabisa ukiwa na mwanamke aliyefanya mara 100. ila mwanaume aliyefanya mara 3 na aliyefanya mara 1,000 hakuna tofauti yoyote.

asikudanganye mtu kuwa cha kiume hakiharibiki kadri unavyotumia mara nyingi inakuwa na sugu na rangi inabadilika inakuwa nyeusiii huo ni huaribifu na pia inaanza kuishiwa nguvu we mara 1,000 ucfanye mchezo
 
mimi ninafikili kwa anayetumia mara nyingi ndo anavokuwa na uzoefu, pia kumbuka experiance matters in everything kwa hiyo mie nafikil baada ya kuona kwamba mwanamke kachakaa mi nafikil tumuone anafaa kwa sababu yu ana uzoefu

huko kufaa na uzoefu, sio pointi yangu....pointi yangu ni kwamba jiografia ya ile kitu kwa wanawake inabadilika, wakati kwa wanaume haibadiliki
 
Hivi aliyekwambia kuwa ya kiume haibadiliki ni nani??

Zile zinapepewa hazijaharibika mpaka FWD ndo isimame haijaharibika hapo.

Na kwanini majimama yanakimbilia dogodogo?? Maana yake za vijana bado zinanguvu na hazijazeeka

We acha mchezo kabisa. (Wanaposema kijana damu bado inachemka unafikri wanamaanisha nini?) si kuwa kitu bado bomba

Mkuu hapo ngoma drooo sawa tumeelewana???
 
shemeji salama lakini?

sasa kama ndivyo, inakuwaje siku hizi visichana under 17 vinawakimbilia 45+?

Si kuonyesha kwamba za 45+ ndo zinachemka kuliko under 17 wenzao? experience matters shemeji!!
 
Alafu wanadai haki sawa.
Lakini mara nyingi utakuta dume linaingia na gea ya kuoa baada linaghairi, hapo ndipo zana ya kuchezeana inapoingia
 
shemeji salama lakini?

sasa kama ndivyo, inakuwaje siku hizi visichana under 17 vinawakimbilia 45+?

Si kuonyesha kwamba za 45+ ndo zinachemka kuliko under 17 wenzao? experience matters shemeji!!

Hao wasichana wanaokimbilia 45+ wanafata mkwanja tu hakuna kingine hujaona kiko na mzee halafu kina kijana wake pembeni??

Mie mzima umepotea sana kulikoni
 
Pamoja na kutafuta mapene lakini vilevile si wanakamua mtalimbo kama kawa? tena wengine huwaelezi kitu kwa vibabu, sijui mambo ya viagra?

Nilipotea kidogo huku kwa kuwa sijapata mchumba, manake kila ninayemuona nakuta tayari yuko booked. Kwahiyo inabidi muda mwingi niutumie kule kwenye mahard newz bangua bongo.
 
Kwa mjibu wa topic ilivyokaa, mapenzi humnufaisha mvulana na msichana lakini kwa kujadili matokeo ya mapenzi, msichana anaathirika zaidi. Lakini hii pia ni kutokana na namna mwanamke asivyo mwepesi sana wa ku-handle issues.
 
Pamoja na kutafuta mapene lakini vilevile si wanakamua mtalimbo kama kawa? tena wengine huwaelezi kitu kwa vibabu, sijui mambo ya viagra?

Nilipotea kidogo huku kwa kuwa sijapata mchumba, manake kila ninayemuona nakuta tayari yuko booked. Kwahiyo inabidi muda mwingi niutumie kule kwenye mahard newz bangua bongo.

Wewe acha kujidanganya mkwanja tu hapo ndo dili hakuna kingine umesikia shem halafu acha ubishi wa home sawa!!
 
Sawa shem nimekusikia, siwezi kubishana na wewe, nayajua madhara yake.

Hivi umefanikiwa kumuona loveness love leo? sijui yuko mtaa gani?
 
Nimemuona mahala ila sikumbuki wapi dah kumbe mbona hujanambia wewe hujui mie ndo mwenyewe shauri yako nitakuwa sikusindikizi mie
 
Back
Top Bottom