technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Nawaza tu
Yupo anapitia mafaili mnataka mpaka aje Magomeni. ....?Nawaza tu View attachment 1855938
Porojo!Nawaza tu View attachment 1855938
Bora aendelee huyu huyu maana huwa hata sijui anafanya nini huyu babaNawaza tu View attachment 1855938
Hafai hata hiyo nafasi kapewa kubwa snKwanza 2025 atakuwa amekuwa waziri mkuu miaka 10. Inatosha sasa waje na wengine, ila kwa uchu wake wa madaraka atataka awe tena PM ( kama Urais wasipompa ridhaa, na hii ya Urais alishaanza kujipanga Marehemu akamgundua). Huyu inasemekana ni katika waliotaka Mama asiwe pale kwa 'namna' yeyote. Narudia tena kwa 'namna' yeyote ile, wenye akili mmenielewa
Majaliwa hakuwa Waziri Mkuu kisheria baada ya uchaguzi wa 2020 hata kabla ya kufariki Magufuli.Nawaza tu View attachment 1855938
walikuwa na mimacho na jafo hawakutakaKwanza 2025 atakuwa amekuwa waziri mkuu miaka 10. Inatosha sasa waje na wengine, ila kwa uchu wake wa madaraka atataka awe tena PM ( kama Urais wasipompa ridhaa, na hii ya Urais alishaanza kujipanga Marehemu akamgundua). Huyu inasemekana ni katika waliotaka Mama asiwe pale kwa 'namna' yeyote. Narudia tena kwa 'namna' yeyote ile, wenye akili mmenielewa
Kwa vile hakumteua yeye kwa mujibu wa katiba.Ni kwa vile hakula kiapo kwake, au?
Kumtetea nani yaani kenge mpaka atokwe damu masikioni bunge si la ccm walishindwa nini kuwateteaAcheni utoto badala ya kuwatetea watanzania juu ya miamala mnaleta mada za kitoto za kuwasema watu.
Huwa ni msaada sana kwenye kusema uongo! Unamkuta macho makavuuu!! "Tumeajiri walimu elfu 5 wiki mbili zilizopita" 😁😁😁Yule hata akila kiapo hata huwa sijui anafanya nini?
Huyu hajui kusoma katiba. Kifungu hicho 51(3)(a) kinachotumiwa na wasoma katiba mbumbumbu kama huyo kilitumika wakati JPM anaapishwa baada ya uchaguzi kwa mujibu wa kifungu 42(1), na kitatumika tena baada ya uchaguzi ujao.Nawaza tu View attachment 1855938
Akiwa raisi huyo nchi itarudi kuwa ya hovyo kama mwendazakeKwanza 2025 atakuwa amekuwa waziri mkuu miaka 10. Inatosha sasa waje na wengine, ila kwa uchu wake wa madaraka atataka awe tena PM ( kama Urais wasipompa ridhaa, na hii ya Urais alishaanza kujipanga Marehemu akamgundua). Huyu inasemekana ni katika waliotaka Mama asiwe pale kwa 'namna' yeyote. Narudia tena kwa 'namna' yeyote ile, wenye akili mmenielewa
Kwani watu wakianzisha mjadala huu ina maana ule mwingine wameufunga?Acheni utoto badala ya kuwatetea watanzania juu ya miamala mnaleta mada za kitoto za kuwasema watu.