Ni kweli kuwa Jijini Arusha kila watu 100, 80 wanamiliki bastola?

Chuga n kawaida

anaetaka ku aprove akapigiane kelele na mtu yyt kwake
ukiona anarud ndan kmyakmya anza kusepa
 
Dogo mmoja muarusha jana alipaki escudo new morden pale nbc wenye cheni kama kawaida wakapiga cheni sababu amepaki kwenye mistari; dogo katoka kafungua gari katoa chuma akamwambia jamaa utafungua au niende jela kwa sababu yenu faster jamaa wakafungua akasepa .
 
Maneno ya sema-sikia hayo!!!!!

Umiliki ni siri yeye kapata wapi hyo data???!!!!
Hata akisema kaenda CAR bado wengi wanarudisha armoury baada ya kujua kuwa utunzaji ni zaidi ya kazi ya ziada!!!!
Msidharau hoja ya Lema, maana katokea huko, naye alikuwa mpigaji Kama hao anaowasema, kwa maneno mengine msisahau kuwa jamaa alikuwa jambawaziri, hivyo anajua mbinu na uhalali wa wenzake kuwa nazo
 
Vipi umesahau mida ya zamani kidogo watu kuuliwa kwa mabeto ilikua kitu ya kawaida?
Kuchukuliwa madem club na masela wenye bisibisi tu?
Kuvunjiwa maghetto na majomba wenye mapanga na sime tu?
Saa tano usiku ilikua inaonekana ni mida michafu?
Deal za mawe zinafanyikia chumbani?
Hii kitu imeleta amani.
Ingawa ina disadvantages zake, lakini advantages zake ni kubwa kuliko.

Hivi unafkiri ubabe wa kina Kabelo, Fred Jebi etal umemalizwa na watu kumiliki bastola?? Sema tu vijana wa sasa wamestaarabika.... Hao waliokuwa na michezo ya kuchomana mabeto na mapisipisi ya makalioni ndio hao sasa wengi ni middle age ambao ndio wanamiliki bastola na hawajastarabika hata kidogo, wengine wana hela kweli lakini kwa vichwa vyao hawapaswi kumilikishwa silaha.. Na usfkir bastola ziko ushuani tu hata vijana wa kawaida kitaani wanazo, tembelea joint za Kaloleni, Mianzin, Kimandolu uone ubishani kidogo tu mtu katoa pipe!!! Maisha gani wengine hatuna moyo wa kumiliki bastola na kuropoka hatuwezi kuacha.. Mtu unachallengiwa kidogo tu bastola juu mtatumaliza.
Wengine mmeshindwa kupishana barabarani na unajua tena chocho za Arusha kwa sababu ya bastola anagoma kurudu nyuma mnatesa wengine hayo siyo matumizi ya silaha
Un
 
Wadau, akiuliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alitaka kujua mikakati ya serikali katika kuzagaa kwa silaha ikiwemo bastola. Lema alisema kuwa jijini Arusha, kila penye watu 100, watu 80 wanamiliki silaha ambazo huzitumia kuhatarisha usalama wa watu wengine. Amesema kuwa watu hao wengi wanamiliki silaha isivyo halali na wengine wamepewa kwa malengo yasiyojulikana.

binafsi nimetafakari sana maneno hayo ya Lema na hakika sikupata uhalisia na ndipo nilipoamua kuleta hoja hii hapa ili tudadavue kujua uhalisia wake au pengine Lema alikuwa na lengo la kujijenga kisiasa tu. watu wa Arusha naomba mtusaidie katika hili. Hapa matusi na itikadi za kisiasa tuziweke pembeni

hio ni 80% percent ya population....naomba tupe mgawanyiko wa population ya arusha i.e wanaume %{over 18yrs} ngapi?wanawake%{over 18yrs} na watoto %{under 18yrs}
 
80% siyo kweli, ila ni ukweli watu wengi chuga wanamiliki hiko kitu, kuna siku nilikuwa nacheki game baa 1 hivi maeneo ya sakina, kuna wajamaa wakaanza kukwaruzana mara gafla rafiki wa mmoja wao akatinga bastola mkononi nikangalia pa kutokea nikayeya, sijui kilichoendelea.
 
Wadau, akiuliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alitaka kujua mikakati ya serikali katika kuzagaa kwa silaha ikiwemo bastola. Lema alisema kuwa jijini Arusha, kila penye watu 100, watu 80 wanamiliki silaha ambazo huzitumia kuhatarisha usalama wa watu wengine. Amesema kuwa watu hao wengi wanamiliki silaha isivyo halali na wengine wamepewa kwa malengo yasiyojulikana.

binafsi nimetafakari sana maneno hayo ya Lema na hakika sikupata uhalisia na ndipo nilipoamua kuleta hoja hii hapa ili tudadavue kujua uhalisia wake au pengine Lema alikuwa na lengo la kujijenga kisiasa tu. watu wa Arusha naomba mtusaidie katika hili. Hapa matusi na itikadi za kisiasa tuziweke pembeni

weka picha
 
Msidharau hoja ya Lema, maana katokea huko, naye alikuwa mpigaji Kama hao anaowasema, kwa maneno mengine msisahau kuwa jamaa alikuwa jambawaziri, hivyo anajua mbinu na uhalali wa wenzake kuwa nazo

Unless proven otherwise;asilimia 80 ya wakazi wa Arusha kumiliki silaha sio jambo la mchezo mkuu haiwezekani!!!!

Umiliki holela,usio halali na waliopoteza sifa ni jambo la kawaida kabisa linapokuja suala la silaha sababu mtu akiwa nayo huwezi jua ni ya halali au la mpaka "scrutiny" ifanyike!!!!!

Ila fact inabaki kuwa taarifa ni taarifa mpaka itapokuwa imegundulika vinginevyo!!!!!

Iko noted though!!!!
 
Vipi umesahau mida ya zamani kidogo watu kuuliwa kwa mabeto ilikua kitu ya kawaida?
Kuchukuliwa madem club na masela wenye bisibisi tu?
Kuvunjiwa maghetto na majomba wenye mapanga na sime tu?
Saa tano usiku ilikua inaonekana ni mida michafu?
Deal za mawe zinafanyikia chumbani?
Hii kitu imeleta amani.
Ingawa ina disadvantages zake, lakini advantages zake ni kubwa kuliko.

yani kwa point yako nimeikubali sana. Na watu hawaelewi kwamba silaa ndiyo "the great equalizer" yani watu zamani walikua wanashida sana ya kujilinda na kama huna nguvu ya kupigana na panga au sime au kama wewe ulikuwa mwanamke utajikuta kwenye hatari sana. Lakini bunduki ilivyotengenezwa na watu wakaweza kuipata hamna anayemnyanyasa mwezake. utatuzi ni kila mtu awe na silaa siyo kuwanyima wengine na kuwapa wengine. Serikali inahitaji ilazimishe watu wachukue madarasa ya kujilinda kupitia silaa na ilazimishe watu miaka 18 kwenda juu wapate leceni ya kumiliki na wawe na silaa. Hapo uwanja utakua umesawazishwa ili kila mtu awe na uwezo wakujilinda.
 
Wadau, akiuliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alitaka kujua mikakati ya serikali katika kuzagaa kwa silaha ikiwemo bastola. Lema alisema kuwa jijini Arusha, kila penye watu 100, watu 80 wanamiliki silaha ambazo huzitumia kuhatarisha usalama wa watu wengine. Amesema kuwa watu hao wengi wanamiliki silaha isivyo halali na wengine wamepewa kwa malengo yasiyojulikana.

binafsi nimetafakari sana maneno hayo ya Lema na hakika sikupata uhalisia na ndipo nilipoamua kuleta hoja hii hapa ili tudadavue kujua uhalisia wake au pengine Lema alikuwa na lengo la kujijenga kisiasa tu. watu wa Arusha naomba mtusaidie katika hili. Hapa matusi na itikadi za kisiasa tuziweke pembeni
Mwanasiasa katika ubora wake! Bora kaongea na kusikiwa lakini hakuna ukweli hapo. Ina maana mpaka watoto watakuwa wanamiliki silaha!
 
Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_471488186.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_471488186.jpg
    35.7 KB · Views: 32
Wadau, akiuliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema alitaka kujua mikakati ya serikali katika kuzagaa kwa silaha ikiwemo bastola. Lema alisema kuwa jijini Arusha, kila penye watu 100, watu 80 wanamiliki silaha ambazo huzitumia kuhatarisha usalama wa watu wengine. Amesema kuwa watu hao wengi wanamiliki silaha isivyo halali na wengine wamepewa kwa malengo yasiyojulikana.

binafsi nimetafakari sana maneno hayo ya Lema na hakika sikupata uhalisia na ndipo nilipoamua kuleta hoja hii hapa ili tudadavue kujua uhalisia wake au pengine Lema alikuwa na lengo la kujijenga kisiasa tu. watu wa Arusha naomba mtusaidie katika hili. Hapa matusi na itikadi za kisiasa tuziweke pembeni
Ndio ni kweli
 
Arusha wengi mnaujanja wa kuiga kuiga mambo mengine hayafai kuigwa mnatembea na silaha kama mpo Alepo pesa ndio silaha iliyo bakia zingine mizigo tu
 
Back
Top Bottom